Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Hakukua na ulazima wa kufanya ujinga kama ule.
 
Marangapi tunaona wasanii wa maigizo bong muvi na bongo staa, wacheza mziki wakivaa mavazi yanayo fanana na yale ya ibada na pia kuigizia makanisani tena ya roman katoloki huku wakivaa misalaba mikubwa kama maaskofu na hata wanenguaji wa mziki wanachezea makanisani na kurekodi.

Haijawahi askofu wa katoloki kujawa na upepo wa kijinga kama UTOPOLO, kwa sababu ni wasomi na wanajua kuchambua mambo kwa akili na imani "fath with reason" hawakurupuki!

Kwa hiyo msimrishe maneno ya KITOPOLOTOPOLO eti kalaani kwani yeye ni mwelewa na hawezi kuwa UTOPOLO!

By the way RC inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu maalum. Yaani kuna TEC, Rais wa TEC, Katibu wa TEC hao ndiyo wasemaji wa kanisa Katoliki siyo UTOPOLO wenye maumivu ya kuona Mnyama akipeta kwa kasi ya ajabu!
 
Kwanini huwa hawaigizi kwa dini yao? Hawa watu ni wa hovyo sana.
Shagy mkiristo kaigiza nyimbo kanisani , kuna misalaba, mapadri na masisita huku watu wakicheza mziki na kunyaduana bila chenga.Na wapo Wakristo wengi tena nyinyi ndio vinara wa kubainisha dini yenu utakuta msanii kavaa msalaba au ana tattoo ya msalaba huku kazungukwa na malaya kibao tena wakiwa uchi.

Usichukie kitu kisa kafanya mtu fulani kama kama ubaya chukia ubaya bila kujali nani kafanya.
 
Alama za dini na ishara zake ziheshimiwe. Kuna dini huwa haiguswi wala kuigizwa waumini wake wana munkari na jazba, hilo jeneza lingepasuliwa hapohapo na waliolileta kuchazwa bakora
 
Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.

Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini

Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
View attachment 2319369
Nililisema mm Jan kwenye Uzi wangu kuwa Simba wamechemka sna kwa hili la jeneza na misalaba haya sas njoni mtuombe radhi ss waumini wa kikirosto la sihvyo hamtabeba kombe lolote Hadi 2080
 
Attachments

  • FB_IMG_1660058850277.jpg
    FB_IMG_1660058850277.jpg
    41.8 KB · Views: 4
Kwa mtazamo wako ni sawa kuona wameharibu,lakini kuna wengine sisi hatuoni tatizo lolote.Kwani siku zote mashabiki wanaingia uwanjani wamebeba mfano wa majeneza mbona hatujawahi kuwaoneni mkitokwa povu.Mnacatcht feelings kwa vitu vidogo vidogo

    41.8 KB · Views: 3
Basata washamtia kufuli huyo msanii. Na walioruhusu huo uchuro watiwe pingu ili isiridie Tena. Ni upotoshaji na udhalilishaji wa dhehebu na waamini wake.
Hawa walikamatwa?
 
Attachments

  • FB_IMG_1660058850277.jpg
    FB_IMG_1660058850277.jpg
    41.8 KB · Views: 3
Wenye akili tayari wameshachukuwa hatua. Hatuwezi kuendelea kufanya vitendo vya kijinga, tena vinavyoonyesha ukosefu wa adabu kwa dini za watu.
 
Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.

Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini

Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
View attachment 2319369
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
Hapa nakuunga mkono bibi.
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
Angegusa Iman yako ungepovuka balaa
 
Back
Top Bottom