Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Ulitaka msiba wa kinyesi ufanyike bila mwili wa marehemu?
 
Mimi ni mshabiki wa Simba SC lakini wamefanya UPUMBAVU NA UJINGA Mkubwa na wameharibu hii siku

Watu weusi tuna maujinga sana
Kwa mtazamo wako ni sawa kuona wameharibu,lakini kuna wengine sisi hatuoni tatizo lolote.Kwani siku zote mashabiki wanaingia uwanjani wamebeba mfano wa majeneza mbona hatujawahi kuwaoneni mkitokwa povu.Mnacatcht feelings kwa vitu vidogo vidogo
 
Jeneza Si mbao tu?

Undertaker aliharibu WWE kwa kuingina na Coffin?

Jeneza linatatizo gani? Unaweza kutoa hoja yenye nguvu?
Ukiangalia wote wanao ona jeneza ni tatizo ni Yanga,yani kufana kwa Simba Day kumewaumiza sana wameanza kutafuta vijisababu ili mradi tu wakosoe.
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Wangechimba na kaburi pale uwanjani
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Lunyasi 🦁kawaida ziro kabisa.Ogopa pale unaitwa you animal😂😂
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Fear of unknown, ile ni Sanaa tu Kama Sanaa nyingine, sema watu ni waoga tu. Binafsi sijaona tatizo kabisa kwenye kutumia jeneza...
 
Mimi ni mshabiki wa Simba SC lakini wamefanya UPUMBAVU NA UJINGA Mkubwa na wameharibu hii siku

Watu weusi tuna maujinga sana
Mtu Mjinga na Mnafki kwenye haya Mambo ya usimba na uyanga ni rahisi sana kumtambua

Ukishaona kaanza tu na maneno Mimi ni shabiki wa Simba/Yanga ila... Ujue huyo teyari ni mnafi

Unajulikana vizuri Kuwa wewe ni shabiki wa Yanga, kwahiyo unaweza kutoa hoja/komenti bila kujivika ushabiki wa usimba na ukaeleweka

Punguza huo unafki wa kujiita we shabiki wa Simba ila blah blah blah, huo ni udada

Ridhika na team yako na uwe proud nayo, ili popote pale uwe free kutoa mawazo yako kuhusu team ingine

kama ukichangia points watu wataelewa tu haijarishi we ni shabiki wa team gani na sio hadi uanze me shabiki wa Simba ila ila ila
 
Huwa mnaanza hivi hivi! Mwisho wa siku mnaishia kupigwa faini na CAF kwa sababu za kishirikina. Ikiwapendeza, mkubali tu kubadilika.

Acheni uswahili.
Khaaaaaaaaah, sasa jeneza ni ushirikina??? Serious??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavurugwa vibaya siku hizi. Umepatwa na nn??

Byuti byuti
 
Wameleta aibu sanaa, ebu jaribu kufikiria mtu aliyetoka kwenye majonzi halafu akasema ngoja aende uwanjani kuangalia mpira na kupoteza mawazo, Halafu mwisho wa siku anaona kitu Kama kile kinaletwa uwanjani, unazani atajisikiaje, bila Shaka utamrudisha katika majonzi ndani ya moyo wake
Sure mkuu.. Lile ni jambo LA kipumbavu sana binafsi limeniumiza
 
Afadhali wewe umeiona jeneza ila Kuna wenzako efm wanaongelea swala la Dilunga kutotambulishwa au kuagwa pamoja na kuwekewa clip ya msemaji wa Simba ya ufafanuxi Bado wakashikia Bangor ila walipoulizwa kama utopolo walimwaga kabwili mjadala ukafungwa
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
bila picha nipumba
 
Wana utopolo wamekuja kwenye huu uzi kujipoza na machungu ya juzi.
 
Sio kila kitu kinachofanyika katika hii dunia lazima kikupendeze ww nani kwani?
 
Wameleta aibu sanaa, ebu jaribu kufikiria mtu aliyetoka kwenye majonzi halafu akasema ngoja aende uwanjani kuangalia mpira na kupoteza mawazo, Halafu mwisho wa siku anaona kitu Kama kile kinaletwa uwanjani, unazani atajisikiaje, bila Shaka utamrudisha katika majonzi ndani ya moyo wake
Aibu???!!?! Ule ni ushenzi, upumbavu na ujinga ambao siyo rahisi kuuelezea....Siyo suala la jeneza tu Bali hata ule msalaba ni kebehi, dharau na kejeli kubwa kwa Wakristo....ni ushenzi na upumbavu wa kiwango Cha juu kabisa...
 
Basata washamtia kufuli huyo msanii. Na walioruhusu huo uchuro watiwe pingu ili isiridie Tena. Ni upotoshaji na udhalilishaji wa dhehebu na waamini wake.
 
Back
Top Bottom