Ulitaka msiba wa kinyesi ufanyike bila mwili wa marehemu?Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Kwa mtazamo wako ni sawa kuona wameharibu,lakini kuna wengine sisi hatuoni tatizo lolote.Kwani siku zote mashabiki wanaingia uwanjani wamebeba mfano wa majeneza mbona hatujawahi kuwaoneni mkitokwa povu.Mnacatcht feelings kwa vitu vidogo vidogoMimi ni mshabiki wa Simba SC lakini wamefanya UPUMBAVU NA UJINGA Mkubwa na wameharibu hii siku
Watu weusi tuna maujinga sana
Ukiangalia wote wanao ona jeneza ni tatizo ni Yanga,yani kufana kwa Simba Day kumewaumiza sana wameanza kutafuta vijisababu ili mradi tu wakosoe.Jeneza Si mbao tu?
Undertaker aliharibu WWE kwa kuingina na Coffin?
Jeneza linatatizo gani? Unaweza kutoa hoja yenye nguvu?
Mbao na vipande vya godoro.unaogopa jeneza!? Hizo mbao tu
Wangechimba na kaburi pale uwanjaniWasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Lunyasi 🦁kawaida ziro kabisa.Ogopa pale unaitwa you animal😂😂Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Fear of unknown, ile ni Sanaa tu Kama Sanaa nyingine, sema watu ni waoga tu. Binafsi sijaona tatizo kabisa kwenye kutumia jeneza...Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Ila jezi ya simba mbaya mnoWanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe hao jamaa View attachment 2318319View attachment 2318320View attachment 2318321
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtu Mjinga na Mnafki kwenye haya Mambo ya usimba na uyanga ni rahisi sana kumtambuaMimi ni mshabiki wa Simba SC lakini wamefanya UPUMBAVU NA UJINGA Mkubwa na wameharibu hii siku
Watu weusi tuna maujinga sana
Khaaaaaaaaah, sasa jeneza ni ushirikina??? Serious??Huwa mnaanza hivi hivi! Mwisho wa siku mnaishia kupigwa faini na CAF kwa sababu za kishirikina. Ikiwapendeza, mkubali tu kubadilika.
Acheni uswahili.
Sure mkuu.. Lile ni jambo LA kipumbavu sana binafsi limeniumizaWameleta aibu sanaa, ebu jaribu kufikiria mtu aliyetoka kwenye majonzi halafu akasema ngoja aende uwanjani kuangalia mpira na kupoteza mawazo, Halafu mwisho wa siku anaona kitu Kama kile kinaletwa uwanjani, unazani atajisikiaje, bila Shaka utamrudisha katika majonzi ndani ya moyo wake
bila picha nipumbaWasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Unajivunjia heshima yakoNini maana ya sanaa!? Walioleta ni wasanii walikuwa wanafanya sanaa.. Shida ingekuja kama lingekuwa na maiti ndani yake..HIYO TUSINGEITA SANAA.. Lakini kama ndani yake kulikuwa na kinyago kilichovishwa jezi za njano hiyo ni SANAAView attachment 2318654
Ulisema jezi ya Yanga ni nzito ina picha za makaburi ukashusha PDF nzima sasa hivi Simba wameleta jeneza umeufyata mkiaMazishi ya kiroho hayako hivyo
Aibu???!!?! Ule ni ushenzi, upumbavu na ujinga ambao siyo rahisi kuuelezea....Siyo suala la jeneza tu Bali hata ule msalaba ni kebehi, dharau na kejeli kubwa kwa Wakristo....ni ushenzi na upumbavu wa kiwango Cha juu kabisa...Wameleta aibu sanaa, ebu jaribu kufikiria mtu aliyetoka kwenye majonzi halafu akasema ngoja aende uwanjani kuangalia mpira na kupoteza mawazo, Halafu mwisho wa siku anaona kitu Kama kile kinaletwa uwanjani, unazani atajisikiaje, bila Shaka utamrudisha katika majonzi ndani ya moyo wake