Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hilo la maji taka hata Dar ndio mtindo huo[emoji26][emoji26]Leo siku usagi na mapumziko poleni wana Mwanza mvua kubwa.
Walio vilimani watafumgulia maji taka khaa
Yule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? ππShughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa.
Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza.
Najiuliza mvua hii ikiendelea mpaka mwezi Mei nini kitatokea?
Zinahitakika juhudi za dharula.
View attachment 2869968
Yule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? ππ
Akili ni nywele Kila mtu ana zake.Mimi.ndio ningekuwa wa huko Mwanza badala ya bil.700 plus kuzimwaga kwenye Daraja ningepiga lami zaidi ya km 500 Mwanza yote hiyo.
Tuliwaambia mtu wenu zilikuwa hazimtoshi na hajui namna ya kuwasaidia muwe mnawelewa.
Legacy ya hivyo inge make sense kuliko kadaraja kamoja.
Ila msiwaze Samia ameanza kuwafungulia Dunia Kuna zais ya km 30 za lami za mitaani via Tactic, Tarura na TanRoads zinajengwa.
Next year ndio zitakuwa nyingi
Kwani awamu ya 5 haikuwajengea? Au zimeharibika?Acheni kuichafua serikali ya awamu ya sita
Waende kwenye Daraja pale Busisi ππMlipata prezdaa akafanya ushamba saii msubiri mvua zipo Kila mahali nakwingi hali nimbaya. Saii prezdaa niwawote hana ukanda jiongezeni
Kwa nini hawakuoiga awamu ya yule Rais wenu mliyetuambia anajenga sana? π€£π€£π€£π€£imeshindikana pamoja na akina mbunge Mabula na Msukuma,RC Malima na Makalla, akina Makonda kupiga kelele kuhusu Miundo Mbinu zikiwemo barabara za fly over,njia nne kuingia mjini na jengo la kimataifa la uwanja wa ndege,nakubali inatumika kisiasa kipindi kikifika kuvusha watawala. Hali si hali kwa jiji kwa sasa.
Serikali ipi Ina jipya?Usitegemee jipya kwenye serikali hii.
Ubwabwa ni tatizo la kitaifa pia,hatua za haraka zichukuliweYule Baba yenu Mwendazake kwani hakuwajengea si mlimuita mwokozi vipi tena unaleta malalamiko? ππ
Akili ni nywele Kila mtu ana zake.Mimi.ndio ningekuwa wa huko Mwanza badala ya bil.700 plus kuzimwaga kwenye Daraja ningepiga lami zaidi ya km 500 Mwanza yote hiyo.
Tuliwaambia mtu wenu zilikuwa hazimtoshi na hajui namna ya kuwasaidia muwe mnawelewa.
Legacy ya hivyo inge make sense kuliko kadaraja kamoja.
Ila msiwaze Samia ameanza kuwafungulia Dunia Kuna zais ya km 30 za lami za mitaani via Tactic, Tarura na TanRoads zinajengwa.
Next year ndio zitakuwa nyingi
Mwendazake hakua na akili za kuwasaidiaUbwabwa ni tatizo la kitaifa pia,hatua za haraka zichukuliwe