Shughuli za kuandaa katiba ya EAC zaanza huku Tanzania ikiendelea kununa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ratiba imeanza ya uandaaji wa katiba ya EAC itakayotoa muongozo jinsi gani huu muungano utakavyokua, ila bado kuna changamoto maana Tanzania ambayo ni mshirika wa muungano imenuna kupita maelezo, imegoma kutuma wataalam wake kuhusika kwenye vikao, kama ilivyo kwa Tanzania kununia kila kitu.

Tatizo sio ruhusa kutengeneza katiba bila mshirika hata mmoja, hivyo inabidi tukwame na kucheleweshwa.
-----------------------------

Uganda’s President Yoweri Museveni is expected to launch the East African Community constitution-making process in Kampala on August 19, setting the pace for the attainment of the bloc’s fourth and last integration pillar — political federation.
However, the region has decided to start with a political confederation. At the 20th Ordinary Summit in Arusha in February, the EAC heads of state asked President Museveni to oversee and provide political guidance to the legal experts tasked with the drafting of the Confederation Constitution.
The EAC in May 2017, adopted the Political Confederation as a transitional model ahead of the envisaged last pillar of integration.
The Confederation Constitution requires the EAC partner states to agree on areas to co-ordinate centrally, including trade and foreign policy, while other areas will be conducted by respective national governments.
Each EAC partner state nominated two constitution drafting experts and a draftsman, making a team of 18.
The constitution experts met for the first time in Arusha in September 2018, without their counterparts from Tanzania, to agree on terms of reference and a roadmap.

The committee has spent about a year consulting partner states ahead of the drafting of the constitution.
Tanzania’s failure to name its experts to the committee called to question the country’s commitment to the integration agenda, as the Treaty Establishing the EAC stipulates that the committee should not proceed without participation of one partner state.
 
Hakuna EAC bila Tanzania, wote mnalijua hilo. Sisi hatukurupuki, lazima shughuli zote za EAC ziendane na kasi ya Tanzania, tuacheni tujipe muda vile tunataka iwe.

Mlijaribu kupeleka mambo ya EAC kwa kasi mkisema Tanzania inachelewesha mambo, mkatengeneza CoW, nchi zote mlikuwepo isipokua Tanzania(Mwenye EAC), mkashindwa, Mkasaini mkataba wa EPA bila baba lao Tanzania, mkashindwa." Without Tanzania, there is no EAC"
 
Wao wenyewe wamekosa wataalamu wa kuandika katiba yao mpya. Tutawaazima ili waache kununa. Ila sioni tatizo lolote, huu muungano uendelee na moyo huo huo wa konokono. Mtazamo wangu ni kwamba EAC haina umuhimu wowote kwa nchi ya Kenya. Huu ni muungano wa kutukwaza tu na kuturudisha nyuma. Itapendeza zaidi tukizidi kuboresha biashara na uhusiano wetu na nchi saizi yetu kama Ethiopia.
 

Tatizo la huu muungano ni kwamba iliwekwa yaani taifa moja likinuna hairuhusiwi kwenda mbele, kwa kifupi taifa lolote lina uwezo wa kutukwamisha hata Burundi.
Sasa Tanzania kwa walivyo wavivu na wazembe wa kutupwa, wataishia kutuchelewesha tu maana hamna namna. Tutaishia kuwaburuza tu na uzembe wao.
 
Hamuwezi kwenda bila Tz?
Someone from kenya trying to call others lazy [emoji23][emoji23][emoji23] wakati kitunguu alichopikiwa nacho chakula kimetoka Tanzania.
Ninyi ni wapumbavu by nature na Nimegundua hamuwezi kunywa na kula bila kuitaja Tanzania maana mnaiogopa balaa.
Mngekua sio wazembe njaa isingekuwepo huko.
 
Bora tubaki kama tulivokuwa hapo awali. Alafu hii 'political federation' ndio haifai kabisa, bora iwe ni muungano kwenye masuala ya biashara. Hizi nchi zingine zote ukanda huu zinaendeleza sera na siasa za kidikteta. Wakenya huwa hatuna hamu tena na huo upumbavu. Kwa ufupi ni kwamba kisiasa hatufanani hata kidogo.
 
Ethiopia mnavyowashobokea afu venye hawana time nanyi makes me pity you.
You are more related na Tz than Ethio, mpende msipende mtainteract nasi zaidi ya hao wengine, either you behave or keep complaining to eternity, worse enough you have neglacted the areas bordering Ethiopia and your northern neighbours.
Wakenia bhana.
 

Umeelewa nilichokisema kweli au unabonyeza bonyeza kwenye simu bila kushirikisha ubongo ilmradi uonekane na wewe umesema kitu, nimesema sheria haziruhusu kuendelea bila nchi hata moja, kwa kifupi hata Burundi maskini na wavivu wenzenu wana uwezo wa kutukwamisha wakiamua kuzembea kama ninyi.
 
Biashara sio kushobokeana, na 'mafeelings', hapo ndio huwa mnakosea. Nimeitaja Ethiopia kwasababu ya uchumi wao mkubwa na kwamba tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao. Biashara kati ya Kenya na Ethiopia inazidi kunoga. Miundo mbinu kati ya Kenya na Ethiopia inazidi kuboreshwa. Benki za Kenya KCB, Equity zimeingia Ethiopia kwa kishindo. Kampuni kama KenGen imeshapata fursa kwenye miradi ya Geothermal kule Ethiopia. The opportunities are endless.
 
Yaani kwa hali hii unavyowadharau Burundi ndo utake EA community [emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi shirikisha ubongo kwa mkumbafu kama ww ambaye kazi yake ni kueneza chuki na ukabila mitandaoni.
Siku mkiwa na adabu kwa nchi zingine ndo mje mdai EA iuangane.
Au umenuna kukuambia kitunguu ulichopikiwa nacho githeri kimetoka Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…