Shughuli za kuandaa katiba ya EAC zaanza huku Tanzania ikiendelea kununa

Pole sana nimesikia kibanda chako kimeungua pale sokoni
 

Siwadharau Burundi, ila nawasema kama walivyo, ni wavivu na maskini kama nyie, wao kainchi kadogo kama Rwanda lakini hiyo Rwanda imewaacha mbali sana, tatizo lao kubwa walijiingiza kuwafuata nyie mkawaelekeza na kuwapeleka kwenye umaskini zaidi.
Siku wakijitambua na kuanza kusimama wao kama wao, watabadlika na kuwa wachapa kazi kama Rwanda na Kenya.
 
Kila nchi inapaswa kuangallia maslahi mapana ya nchi kabla ya kujitumbukiza kwenye mambo mapya. Fundisho kubwa ambalo Tanzania ilipata ni lile la kupotea kwa EAC mwaka 1977. Hivyo basi isilaumiwe kwa ku-drag its feet kwenye mambo mapya hadi pale itakapojiridhisha kuwa maslahi ya nchi yetu yapo salama.
 
Narudia tena, siku mukiwacha kuwadharau nchi zingine hapa EA ikiwemo nchi zinazowalisha [emoji23][emoji23][emoji23] muje mudai EA community,
Huna kazi nyingine zaidi ya kueneza chuki online.
 
Kwa nini muhangaike kubuni vitu vipya? Si mchukue tu katiba ya AU ndio muifanye katiba ya EAC with some few amendments ili kui customize?
 

Hizi blah blah blah unazozisema hakuna anayezikataa wala kuzipinga, tatizo ni pale hamsemi wala kutoa tamko kwamba mpewe muda, muda wote mnasema mumekubali na mumejitolea ila mnakwepa vikao. Mnafaa kutoa tamko mseme bado hampo tayari na kwamba mpo kwenye vikao vyenu vya ndani ili kuwaza na kutathmini na kudadavua umuhimu wa kukaa vikao vya EAC.
 
Mkuu sentensi yako ya mwisho imemaliza kila kitu. Hapa EA siasa zetu hazifanani hata kidogo. Sijui hiyo jumuiya ya kisiasa itafanikiwa vipi kwa mgawanyiko huu wa kiitikadi na kijamii uliopo hapa EA.
 
Dawa sasa kwenda kuoa UG na kufyatua mtoto kwa hesabu za mbali mali na biashara atakae Thubutu kuleta ntima nyongo buluza East African Cort...
 
Narudia tena, siku mukiwacha kuwadharau nchi zingine hapa EA ikiwemo nchi zinazowalisha [emoji23][emoji23][emoji23] muje mudai EA community,
Huna kazi nyingine zaidi ya kueneza chuki online.

Ukiwa mzembe unasemwa tu, ndio desturi yetu hapa Kenya, haturembi wala kumumunya maneno, yaani nimewahi kumualika Mtanzania kwenye kikao cha Wakenya kazini, dah aliogopa sana maana humo tulikua tunaambiana kama ilivyo, baadaye sote tunakutana kunywa chai na kucheka.
Hata hapo Tanzania nimewahi kuwa kwenye kikao ambacho tulikutana Wakenya kila mmoja anawakilisha kampuni ya Kitanzania, aisei Watanzania walitushangaa sana, yaani kila kitu kinawekwa mezani, unaanikwa na kuambiwa wazi wazi udhaifu wako. Baada ya kikao sote tunapiga stori za kwaida na kucheka.
Tatizo ujamaa uliwaharibu sana nyie, ndio unaona hata spika wenu anavurugika kiakili kisa CAG amesema bunge lina udhaifu, hamjazoea kuambiwa na mtu asiye mnafiki.
 
"Tanzania’s failure to name its experts to the committee called to question the country’s commitment to the integration agenda, as the Treaty Establishing the EAC stipulates that the committee should not proceed without participation of one partner state."
 
Kunyamaza kimya nako ni kuongea.
 
Hata uandike page za kutosha huwezi make sense hata siku moja hapa,
Wewe kazi yako ni kueneza chuki hapa.
Kwann msiwatafute hao wasio wazembe mkaunda jumuiya yenu mpya ya EA [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana ulikuwa unaota ipo siku mtakua na political federation? 😔 Kweli ulikuwa kwenye usingizi wa pono
 
Kunyamaza kimya nako ni kuongea.

Ndio lakini sio unawaambia wenzako subirini hapo nakuja kisha unajificha ficha, huo sio udume, piga kifua ngumi ambia wenzako naridhia muondoke wenyewe nitawafuata baadaye.
 
Ndio lakini sio unawaambia wenzako subirini hapo nakuja kisha unajificha ficha, huo sio udume, piga kifua ngumi ambia wenzako naridhia muondoke wenyewe nitawafuata baadaye.
Kunyamaza kimya narudia tena kuwa nako ni kuongea pia. Hivi bado hujaelewa??????
 
Reactions: Oii
Hata uandike page za kutosha huwezi make sense hata siku moja hapa,
Wewe kazi yako ni kueneza chuki hapa.
Kwann msiwatafute hao wasio wazembe mkaunda jumuiya yenu mpya ya EA [emoji23][emoji23][emoji23]

Tulikuta jumuiya imeundwa kwa kushirikisha wazembe, hivyo inabidi tuwabebe kama walivyo. Hauwezi ukachagua nani awe jirani wako, ukinunua kiwanja, huna uwezo wa kusema nani anunue viwanja vingine maeneo hayo, watakuja vilaza na wazembe utawavumilia na kuwabeba kama walivyo.
 
Siwezi kukufundisha nahau ya lugha ya kiswahili ili uelewe maana ya niliyosema.
Kwani si wanayo ile ng'ombe yao (cow) bora wafunge mkokoteni wasonge mbele ,shida zao zinawafanya wawe vimbelembele na kuilalamikia TANZANIA Mara kwa Mara si waende na hilo ling'ombe Lao ala
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…