JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema kufikia leo mpaka Saa 1 asubuhi na usiku mzima ni watu 5 pekee waliookolewa.
Shughuli za uokoaji bado zinaendelea huku jeshi la polisi likiimarisha ulinzi mkali katika eneo wakiongozwa na Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro.
Chanzo: Crown FM