Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

Mateja waliokokaj na ilikuwa mateja wakaondoka hawajazima moto ? je ndan ya soko kubwa km hilo mateja waliwezaj kuwepo muda wa saa 7 usiku ? je soko halina walinzi ?
soma toka mwanzo utaelewa tu kuhusu mateja
 
Nafahamu mkuu madhara yake...ila huyo jamaa sio kuwa anatupanga tu?

Chanzo cha moto waliopaswa kukitaja ni jeshi la polisi/zimamoto...
sijajua anatupanga ili apate nini maana sioni kama kuna mtu atadaiwa fidia, kwa mfano nyumba ya jirani yako imeungua, huwezi kuzungumzia moto huo hata kama ulishuhudia mpaka police waseme!!??!!. halafu yule ni raia mwenzetu tumwamini tu maana angekuja police na maelezo yale hapo ndio kabisaaa!!!, lakini yote kwa yote moto ndio ulishalamba kila kitu pale hakuna gear ya reverse hata tukibishana vipi. tumshukuru mungu kwa kila jambo
 
Shuhuda wa mchongo huyu
 
Hapo ndipo ushangae waandishi wetu wa habari! Hawawezi kuuliza maswali ya msingi.
 
Huyu atakuwa mvaa kaunda suti
 
Ila Watanzania sijui lini tutaamka kwenye huu usingizi wa kipumbavu maana hawa watu washatuona sisi mazezeta sana na hatuna kitu tunafanya. NONSENSE.
 
Mateja waliokokaj na ilikuwa mateja wakaondoka hawajazima moto ? je ndan ya soko kubwa km hilo mateja waliwezaj kuwepo muda wa saa 7 usiku ? je soko halina walinzi ?
Huyu mtu kapangwa tu akaongee aloyaongea..
Nalifaham soko la karume vizuri hakuna anaeruhusiwa kuwemo ndani ya soko baada ya sa moja usiku soko linafungwa hata kukatiza hukatizi mule ndani zaid ya walinzi tu na sungu sungu...
 
😂😂😂 acha niishie kucheka tu, ukiwazia saba utapata hasira bure.
 
Ushahidi lazima utufurahishe na uwe vile tunavyotaka sisi.....Shuhuda amehojiwa ameeleza namna moto ulivyotokea, sisi tunasema hapana ni muongo....tupeni basi huo ukweli na ushahidi hamtupi baadala tunapeleka lawama tu....
 
huyo kijana ni wa lumumba hao ndo mataga wapya wa mama.
 

Nimeona kama yupo ndani ya studio za Clouds, ina maana alialikwa na chombo hicho cha habari...

Anyway yashapita hayo...
 
Viongozi wetu huwa wanatuona vilaza sana, hiyo haiwezi kuwa sababu ya hilo soko kuwaka moto… kila kitu kilichotokea wanajua. Mimi nadhani wangechoma nchi nzima kama ndio furaha yao kuona moto unawaka.
 
Unaushangaa mshumaa lakini huishangai njiti ya kiberiti

 
TISS ya awamu ya mama ipo kifala mno yaani ni heri polisi jamii wakitwae hicho kitengo wameshindwa kazi kabisa
 
Mtu wa mchongo
Kuna mtu aliwahi kuigiza anamuuzia mahindi ya kuchoma Rais, ajabu akawa na bastola kiunoni.
 
Ushahidi lazima utufurahishe na uwe vile tunavyotaka sisi.....Shuhuda amehojiwa ameeleza namna moto ulivyotokea, sisi tunasema hapana ni muongo....tupeni basi huo ukweli na ushahidi hamtupi baadala tunapeleka lawama tu....
Eti shahidi!!!😂😂.Kwahiyo siku hizi clouds ndio mahakama au kituo cha polisi au kitengo cha uchunguzi wa janga Hilo la moto ndani ya siku 7.Ushaidi akatoe kwa zimamoto na sio kutumia chombo cha habari na kuanza kusambaza black propaganda!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…