VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Kwan hiyo ni mara ya kwanza? Hivi unajua historia ya soko la Karume?tupe ushahidi how serikali imehusika au ndio ma speculation uonekane mjanja kijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan hiyo ni mara ya kwanza? Hivi unajua historia ya soko la Karume?tupe ushahidi how serikali imehusika au ndio ma speculation uonekane mjanja kijiweni
Mlinzi wa kwanza ni mwenye mali zake. Mnaachaje mateja na wahuni wawalindie mali zenu?Sawa, lkn soko halina ulinzi? Moto ,sababu ya giza usiku , rahisi kuuona
Au kapangwa, kama wale wengine ambavyo huwa wanapangwa nini wakazungumze kwenye media.Huyo itakuwa kasimuliwa tu...
Mateja waliokokaj na ilikuwa mateja wakaondoka hawajazima moto ? je ndan ya soko kubwa km hilo mateja waliwezaj kuwepo muda wa saa 7 usiku ? je soko halina walinzi ?mishumaa ni hatari sana imeshasababisha majanga kama hayo mengi sana. ndio maana siku hizi wenye nyumba wengi wanapiga marufuku matumizi yas mishumaa baada ya koroboi za mchina kuwa nyingi
....................ni type ya Yule mwandishi............Muda huo shuhuda huyo alikuwa wapi!! Huyu jamaa wala siyo mfanyabiashara ni type ya yule mwandishi aliyefariki kwenye mazishi akaagwa kijeshi anajaribu kutengeneza mazingira ya kuonyesha siyo serikali iliyohusika na uchomaji wa soko kama watu wengi walivyodai
Mateja wanapiga kazi 24/7Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume #PowerBreakFastView attachment 2085884
Mateja wanafanya nini sokoni muda wa saa 7 , au alikuwa analinda soko dhidi ya nani ? km anaruhusu mateja kuingia ndani ya soko ? umiza akili kdg basMaelezo yamenyooka ni ubishi wa watu tu.
Ishirikishe akili yako kdg , ni saa 7 usiku hlf upo zamu kulinda soko , na unaanzaj kuwaacha mateja waingie sokoni mida ya saa 7 ? sasa alikuwa analinda nn?yeye sio teja ila ni mmoja wa watu walioenda kutoa msaada, naamini wkati wanafanya juhudi hizo ndio wakaambiwa na mateja kwamba mshumaa ulidondoka,inawezekana kabisa mateja walisinzia kidogo si unajua mambo ya kuranduka!!!
Insh sio chadema , inshu walinzi wa karume wanawaachiaj mateja kuingia sokoni mida ya saa 7 usiku ? hapo ndo utata unapoanzia ,Mateja yanatetewa sana na Chadema
Mtuhumiwa namba moja ameshapatikanaHuyu katumwa kuvuruga ukweli. Mateja wanasingiziwa tu. Anapaswa kukamatwa kwa kuchoma soko.