FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ndio hapo sasa, na mshumaa hadu unaanguka chini yeye akawa anauangalia tu? Hadi soko linaungua?Hata soko la kariakoo mateja ndio wameliunguza na mihadarati yao.
Kwa mujibu wa maelezo ya awali moto ulianza kuwaka usiku wa manane, je huyo shuhuda ni kweli alikuwepo eneo la tukio huo usiku wa manane?