Shuhuda hizi ni za mchongo?

Naomba utoe hilo jina la huyo mheshimiwa ,we unamuona mbaya mpaka unamtolea mfano ila ujue ni baba wa familia na kuna mama anamuita baby
Nashauri wewe ufute post hii kwani mwenzio amefuta lkn jina hilo limebaki kwako baada ya ku quote
 
Watu Wana sura za baba zao ,wajomba,na sura za mizimu ya kwao bado mtu akileta Uzi wake utasikia pisi pisi kweli,guu guu la bia....nawakati kawaida tu ni iyo pabuchi anashangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…