Butcher bila shakaSiku ya kwanza nilitembelewa na yale mainzi makubwa ya chooni, nikashtuka, kesho yake nikasaga chumvi ile ya mabonge nikachanganya na magadi nikamwaga kuzunguka eneo la biashara, mainzi yote yalitokomea . Hiyo ndio changamoto niliyokumbana nayo.
Dhaaaa hili halikwepek yani bia ya mwisho lazma walev tukopeBia kama bia, Kila mteja akinywa ya Kwanza mpaka ya tatu ya mwisho anataka ya mkopo,
mwisho wa siku nilijikuta Kila mteja namdai dadeki