Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Ni kweli mkuu; mi nachoka mwenyewe kukaa kifuani
 
Ili kuepuka harufu yake kinywani unaweza kuvimenya na kukatakata vipande vidogodogo unamezea maji kwa wingi. Bila shaka hutosikia harufu yake kabisa. Binafsi huwa nafanya hivyo.
Safi mkuu....nadhani ushaanza ona matokeo
 
Hayajakukuta mkuu. Subiria 40 plus ukifika ndo utajua nini maana ya kusimamisha dushee.
 
Mtu yoyote ambaye damu inazunguka vizuri mwilini mwaka hawezi kusumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume hata kama hajiamini/ hana imani...tatizo likikutokea ndo unapoteza ujasiri hata hamu ya kukutana na mwanamke una kosa

Mkuu achana nao hao wengine, Tatizo ukiwa hujawhi patwa na hilo tatizo unakua na maelezo mengi yakubomoa wenzio.
 
Unachokisema ni kweli mkuu. Kulikuwa na jamaa alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo mzee mmoja akashahuri atumie asali na kitunguu saumu kwa sasa jamaa anasema mambo safi na ana mke na watoto.
 

Mkuu mabadiliko umeanza kupata au kuhisi baada muda gani?
 
Kama tatizo ni anxiety na depression, kuna njia za kukabiliana nazo na kama tatizo ni mzunguko wa damu zpo njia nyingi za kufanya ili kumaliza tatizo...

Satan

Mkuu tupe izo njia za kumaliza ilo tatizo la mzunguko wa damu.
 
Mkuu tupe izo njia za kumaliza ilo tatizo la mzunguko wa damu.
Kula vizuri, balanced diet
Kuepuka vyakula vyenye sukari na mafuta mengi
Kuepuka matumizi ya sigara
Kuepuka vinywaji vya baridi sana
Kupata usingizi wa kutosha n.k
 

PIGA mechi na Mdada wa humu jf then atuletee uthibitisho humu ndio tutaamini kama kweli upo kwenye form
 
Hapo kwenye .....naweza kumpa mtu formula ikamdhuru, unatudanganya aisee. We ni kanjanja na una nia fulani kuwapeleka watu inbox. Kama ni tiba ya mchanganyiko wa matunda itamdhuluje sasa? Au unachanganya na sumu kidogo, LOL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…