Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Habari ya sahizi wakuu, poleni na mapambano dhidi ya ugonjwa hatari unaozidi kuleta hofu nchini na duniani.
Aisee ilikuwa ni kawaida kufanya vibaya sana mechi moja kati ya 5-6 jambo ambalo liliniumiza sana.

Siku moja kama utani nikaonja bangi kwa kushawishiwa, mara paap nikahisi joto na hamu ya kugegeda ikanipanda ya ghafla.

Nikamcheki manzi wangu tukaenda geto. Aisee nilipiga show ya muda mrefu akakojoa mpaka mapovu wakatimmimi bado ndio kwanza naanza. Yani ilikuwa hata nikijilazimishia bao langu halitoki.

Baada ya kuacha ganja nikaja kugundua hata ukifanya kazi ngumu au mazoezi ya uhakika, kwenye mtanange lazima uwe wa mwisho kufika kileleni.
 
Aisee ilikuwa ni kawaida kufanya vibaya sana mechi moja kati ya 5-6 jambo ambalo liliniumiza sana

Asante mkuu kwa kushare
 
Kwanza Asante nyingi ziende kwa mtoa mada kwasababu natumai amewasaidia and i appreciate that kind of humanity.

Uzi huu umekua ni sehemu ya msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu Awali ya yote mimi nilikua muhanga wa kupiga punyeto nilikuja nikaacha baada ya kuona madhara makubwa yaliyonitokea kama kushindwa kusimamisha Uume vyema yaani ukisimama unakua lege lege.

Ivyo baada ya kuusoma uzi huu umenisaidia sana ku recover na kurudi katika hali yangu ya kawaida japo ukweli ni kwamba sijui shoo nzuri ni ipi sababu toka nibalehe nilikua sijawahi kufanya mapenzi lakini nasifiwa sana na mwenzi wangu jambo ambalo linanipa faraja na kujiona nipo sawa

Nawasilisha
 
Aisee ilikuwa ni kawaida kufanya vibaya sana mechi moja kati ya 5-6 jambo ambalo liliniumiza sana

Siku moja kama utani nikaonja bangi kwa kushawishiwa, mara paap nikahisi joto na hamu ya kugegeda ikanipanda ya ghafla.

Nikamcheki manzi wangu tukaenda geto. Aisee nilipiga show ya muda mrefu akakojoa mpaka mapovu wakati mmimi bado ndio kwanza naanza. Yani ilikuwa hata nikijilazimishia bao langu halitoki.

Baada ya kuacha ganja nikaja kugundua hata ukifanya kazi ngumu au mazoezi ya uhakika, kwenye mtanange lazima uwe wa mwisho kufika kileleni.
Aisee vipi now maendeleo yakoje lakini!!
 
Mkuu mkuu mpaka sasa nipo njia pamba. Kwa nini nawe usinisaidie ka alvyokufanyia mzee. Natanguliza shukrani
 
Habari ya sahizi wakuu, poleni na mapambano dhidi ya ugonjwa hatari unaozidi kuleta hofu nchini na duniani..

Katika harakati za maisha tunakumbana na changamoto nyingi hususani sisi wanaume. Japo changamoto zinatofautiana lakini kila mtu amekua na namma ambavyo ameweza kuziepuka...
Hayo mavumba hayana jina
 
Mkuu mkuu mpk sasa nipo njia pamba. Kwa nini nawe usinisaidie ka alvyokufanyia mzee. Natanguliza shukrani
Pole sana kwa hii changamoto mkuu, Yan shida inakuja ni kwamba hata jina la yale mavumba silijui na huwa utamaduni wa kuuliza sie watanzania hatuna hasa pale tunapokwama na shida kama hizi yan unakua kama bumbuwazi tu maana nilidata haswa.
 
Niliona nitachelewa mkuu.. Niliuza kama game 3 hivi so nilikosa amani kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbaya zaid game ya nyumban
Tena na jiran[emoji16][emoji16] hii mbaya sana

stidy
 
mQutubi,
Ni sawa mkuu ulipita shortcut tu ila ata mbinu aliyoitoa mtoa mada inafanya kazi kwa asilimia 91%
Vipi ndugu yetu wewe ilikusaidia! Maana naona mlolongo wake ni mrefu sana. Mlolongo huo wa vyakula na mambo ya kubalansi na nini kwa kijana kama mimi au wengine ambao bado tunaishi na familia si inakua kasheshe.

Maana vijana wengi sikuhizi age ya 24+ ndo changamoto hizo zinatupata na unakuta mara nyingi bado tupo home ndo tunaanza kujiandaa andaa kutoka kwenda kujitegemea sasa bila shortcut kama aliyofanya huyo jamaa hapo juu unaweza ukashindwa kutimiza lengo.
 
Back
Top Bottom