Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Nina tatizo la nguvu za kiume na nipo kwenye ndoa hii nimeathilika nadhani ni kutokana na kupiga punyeto kwa muda mrefu.

Sasa leo nataka ushauri na msaada nataka nipige show ya kibabe kwa wife leo. Ni dawa gani naweza tumia ndani ya muda mfupi kama masaa hivi iki nikikutana naye nimnyooshe kisawa sawa ushauri tafadhari namsaada wa dawa
 
Ninatatizo la nguvu za kiume na nipo kwenye ndoa hii nimeathilika nadhani nikutikana na kupiga punyeto kwa muda mrefu Sasa leo nataka ushaukina msaada nataka nipige show ya kibabe kwa wife leo nidawa gani naweza tumia ndani ya muda mfupi Kama masaa ivi iki nikikutana nae nimnyooshe kisawa sawa ushauri tafadhari namsaada wa dawa
Acha kujishitukia, wengine punyeto ndio inatuongezea nguvu za kiume. Kabla sijaenda kwa bibie napiga kwanza viwili vya fasta ili kuondoa kiherehere Cha bao la kwanza.

TO BE GOOD ON BED ITS ALL ABOUT YOUR MINDSET
 
Kanywe alkasusu vikombe viwili ile chungu isio na sukari kama kahawa pori ya kariakoo. ikiwa haikifai hiyo basi kesho kunywa na tafuta kazi au fanya lolote la kukutoa jasho hata kucheza mziki muda mrefu.halafu kunanywa azam enegy 1 tu.

utaniambia tatizo la ukosefu wa nguvu huendana na ukosefu wa kazi ngumu mchana.fanya kazi ngumu mchana kama huna basi tafuta mazoezi.
 
Natamani nikusaidie ila nahofia utakuwa unadanganya kuwa una ndoa, na sisaidii isipokuwa wenye ndoa tu. Mimi hela sio shida kwangu...hata uniletee billions sikusaidii mpaka nijihakikishie umeoa au umeolewa ndoa za kihalali...

Kama una shida kweli njoo PM...
NB: USIWEKE WALA USITANGULIZE PESA MBELE...NIKUSAIDIE KWANZA HATA USIPONIPA HATA MAJI YA KUNYWA UTAJUA MWENYEWE...ila naamini INSHAA ALLAH BI IDHNILLAH UTAPONA...
 
Mkuu nije namimi?
 
Back
Top Bottom