GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Unalima na kufuga nini mkuu?Mimi kutokana na kulima na kufuga.
Unalima nini?Mimi kutokana na kulima na kufuga.
Inategemea mtu na mtu pia eneo pia upepo pia baraka na neema zitokazo kwa aliye juu.Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Na kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walipoamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali.
Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo ni pamoja na ufugaji. Anyefuga mifugo na anyelima mazao ya chakula na biashara wote ni wakulima.
Tupe ushuhuda wako.
Yupo msukuma mfugaji....nilimuuzia pikipiki Fekon miaka kadhaa ilopita..Mfugaji aliyenunua shamba la milioni mia moja.
Rafiki yangu ana mashamba makubwa mkoa fulani. Mwaka Juzi, aliamua kuuza sehemu ya hayo mashamba.
Mteja aliyeletwa, hakuwa anafania na mtu mwenye uwezo wa kuwa na milioni mia moja. Alikuwa mfugaji. Kumbe anamiliki ng'ombe wa kienyeji zaidi ya mkoa mmoja Tanzania.
Walipokubaliana bei, shilingi milioni mia moja, alitaka kulipa papo hapo shambani. Hela ilikuwa imebebwa kwenye begi.
Kwa kuhofia kutembea na kiasi kikubwa cha pesa, aliwaambia wakakutanikie benki. Ndiko walikoenda kulipana.
Ilikuwa mara yake ya kwanza kumwona mfugaji akiwa na mamilioni mengi ya fedha kiasi hicho. Na huyo mfugaji ambye kabila lake ni Msukuma, alimwomba kuwa akitaka kuliuza eneo jingine, amjulishe ili alinunue.
Tanzania kuna wafugaji ambao japo wanafuga kienyeji, lakini ni matajiri wakubwa sana. Fikiri mtu mwenye ng'ombe zaidi ya elfu moja, huyo si tajiri?
[emoji23][emoji23]Oya we dogo punguza thread bas
Yaani siku moja unaanzisha zaidi ya nyuzi 6
Ya kweli hayo mkuu?Mo dewji
Dogo yupi tena mkuu?Oya we dogo punguza thread bas
Yaani siku moja unaanzisha zaidi ya nyuzi 6
Kama unatambua kuwa ng'ombe mmoja aliyekamilika hauzwi chini ya laki 7 huwezi kuwa na swali kwa mtu ambaye anamiliki ng'ombe elfu 1.Mfugaji aliyenunua shamba la milioni mia moja.
Rafiki yangu ana mashamba makubwa mkoa fulani. Mwaka Juzi, aliamua kuuza sehemu ya hayo mashamba.
Mteja aliyeletwa, hakuwa anafania na mtu mwenye uwezo wa kuwa na milioni mia moja. Alikuwa mfugaji. Kumbe anamiliki ng'ombe wa kienyeji zaidi ya mkoa mmoja Tanzania.
Walipokubaliana bei, shilingi milioni mia moja, alitaka kulipa papo hapo shambani. Hela ilikuwa imebebwa kwenye begi.
Kwa kuhofia kutembea na kiasi kikubwa cha pesa, aliwaambia wakakutanikie benki. Ndiko walikoenda kulipana.
Ilikuwa mara yake ya kwanza kumwona mfugaji akiwa na mamilioni mengi ya fedha kiasi hicho. Na huyo mfugaji ambye kabila lake ni Msukuma, alimwomba kuwa akitaka kuliuza eneo jingine, amjulishe ili alinunue.
Tanzania kuna wafugaji ambao japo wanafuga kienyeji, lakini ni matajiri wakubwa sana. Fikiri mtu mwenye ng'ombe zaidi ya elfu moja, huyo si tajiri?
Duuuh kweli anyeAnye fuga mifugo na anye lima mazao ya chakula
Hiyo imetoka wapi tena😀Duuuh kweli anye
Anye tu hakuna namna Si amebanwa na maviHiyo imetoka wapi tena😀