Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

Ukiachana na mzee sumry Kuna huyu tajiri wa mabasi ya majinja traveller huyu jamaa ana mashamba makubwa ya kahawa mbozi na amejenga kiwanda cha kubangua kahawa, huyu nae amewekeza sana KWENYE kilimo, ukiachana na HUYO Kuna familia ya Mzee Asas pale iringa,familia hii imepata utajiri shambani JAPO kwa sasa imeingia KWENYE biashara ya mafuta,Wana shamba kubwa sana la kufuga ng'ombe,mbuzi, na kondoo,,ukiingia yotube utaiona,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
🙏🙏🙏
 
Kipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli Arusha, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.

Lakini kimwonekano huwezi fikiri kuwa anamiliki hata milioni moja[emoji3]
1. Mavazi yake ni mashuka ya Kimasai
2. Nyumba ni ya nyasi
3. Kitanda ni cha ngozi

Lakini alikuwa na zaidi ya sh milioni mia mbili ndani.

Aliyekopeshwa 200m alishtuka kuona "mzigo" wa hela ukitolewa ndani ya "kiduku" cha nyasi.

Baadaye alimshauri huyo Mmasai aache kutunza hela nyingi "ndani" kwani kufanya hivyo ni hatari kwa usalama wake.
Utajiri wa kulala kwenye nyasi, kila saa unafukuza nzi, umepauka , maisha yako ya dhiki unatembea kwa miguu muda wote eti una ngombe 1000 au hela ipo kwenye dude gani sijui Mungu aniepushie mbali.
 
[emoji3][emoji2][emoji3]nenda mvuha ukakutane na watu wanaomiliki makundi makubwa y ng'ombe aisee,ila wanapolala ndio mtihani
 
Ukitaka kuwa fukara bongo kuwa mkulima.
 
Back
Top Bottom