Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

Nyie kilimo kinalipa.. Kuna mmoja mpaka anapigiwa simu na benki ashtue akaunti yake, hapo ana zaidi ya milion 300.. ipo tu mpaka akaunti imelala.. benki wanamuhimiza awe anafanya miamala walau kidgo ila akaunti iwe active
 
Kipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli Arusha, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.

Lakini kimwonekano huwezi fikiri kuwa anamiliki hata milioni moja😀
1. Mavazi yake ni mashuka ya Kimasai
2. Nyumba ni ya nyasi
3. Kitanda ni cha ngozi

Lakini alikuwa na zaidi ya sh milioni mia mbili ndani.

Aliyekopeshwa 200m alishtuka kuona "mzigo" wa hela ukitolewa ndani ya "kiduku" cha nyasi.

Baadaye alimshauri huyo Mmasai aache kutunza hela nyingi "ndani" kwani kufanya hivyo ni hatari kwa usalama wake.
 
Kipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.
Kuna pipo Zina pesa halafu hawana hata mambo mengi.. ngumu kukutana nao ila wapo bongo hapa hapa ni vilimo vyao
 
Kuna jamaa mmoja ni mfugaji huko lichehe yeye kwa mwaka anaokota ndama zaid
Ya 500, idadi ya ng'ombe wake hata yeye hajui ni full kumuibia tu, yy ana hesabu ndama na kila mwaka anauza ng'ombe 300x500000= 150,000,000 Anatenga M 100 Kwa Mujibu wa maelezo yake hiyo ni kwaajili ya kulipa fidia ng'ombe wakiingia shambani mwa watu pia kuhonga wenyeviti wa vijiji na askar ili asifukuzwe huko lichehe kwasababu wakulima hadi kesho hatumtaki kule yule jamaa sijui hata tumfanyaje.
 
Aisee!
Inabidi tu muwe wapole, kisha mtengeneze njia ya kushea naye kihalali utajiri wake.
 
Kipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli Arusha, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.

Lakini kimwonekano huwezi fikiri kuwa anamiliki hata milioni moja😀
1. Mavazi yake ni mashuka ya Kimasai
2. Nyumba ni ya nyasi
3. Kitanda ni cha ngozi

Lakini alikuwa na zaidi ya sh milioni mia mbili ndani.

Aliyekopeshwa 200m alishtuka kuona "mzigo" wa hela ukitolewa ndani ya "kiduku" cha nyasi.

Baadaye alimshauri huyo Mmasai aache kutunza hela nyingi "ndani" kwani kufanya hivyo ni hatari kwa usalama wake.
Hahah wamasai ndo pigo zao kulala na pesa ndani
 
Wadau je,mnamkumbuka tajiri wa kampuni ya mabasi ya sumry? Huyu jamaa kwa kauli yake alikuwa na jumla ya mabasi 88 ,kutokana na changamoto ya ushindani na makampuni MENGINE, na pia changamoto ya madereva wake,alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuyauza mabus yake yote na kuelekea kwao rukwa na kuanza kufungua mashamba makubwa ya kilimo cha mahindi,ukiingia yotube utaiona amejieleza sana,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Yaaap niliiona hii
 
Ukiachana na mzee sumry Kuna huyu tajiri wa mabasi ya majinja traveller huyu jamaa ana mashamba makubwa ya kahawa mbozi na amejenga kiwanda cha kubangua kahawa, huyu nae amewekeza sana KWENYE kilimo, ukiachana na HUYO Kuna familia ya Mzee Asas pale iringa,familia hii imepata utajiri shambani JAPO kwa sasa imeingia KWENYE biashara ya mafuta,Wana shamba kubwa sana la kufuga ng'ombe,mbuzi, na kondoo,,ukiingia yotube utaiona,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Wadau je,mnamkumbuka tajiri wa kampuni ya mabasi ya sumry? Huyu jamaa kwa kauli yake alikuwa na jumla ya mabasi 88 ,kutokana na changamoto ya ushindani na makampuni MENGINE, na pia changamoto ya madereva wake,alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuyauza mabus yake yote na kuelekea kwao rukwa na kuanza kufungua mashamba makubwa ya kilimo cha mahindi,ukiingia yotube utaiona amejieleza sana,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom