soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,113
Hapana mkuu! Kilimo ni kati ya kazi zinazolipa sana ukikipatia.Inategemea mtu na mtu pia eneo pia upepo pia baraka na neema zitokazo kwa aliye juu.
Vinginevyo kilimo ni kamari.
Aisee!Yupo msukuma mfugaji....nilimuuzia pikipiki Fekon miaka kadhaa ilopita..
Alitoka nayo Dar anarudi mkoa huku akikagua makundi ya mifugo...kila akituma picha na mifugoye wawezabdhani msanii
โ ๐Kama unatambua kuwa ng'ombe mmoja aliyekamilika hauzwi chini ya laki 7 huwezi kuwa na swali kwa mtu ambaye anamiliki ng'ombe elfu 1.
Kipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli Arusha, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.Nyie kilimo kinalipa.. Kuna mmoja mpaka anapigiwa simu na benki ashtue akaunti yake, hapo ana zaidi ya milion 300.. ipo tu mpaka akaunti imelala.. benki wanamuhimiza awe anafanya miamala walau kidgo ila akaunti iwe active
Kuna pipo Zina pesa halafu hawana hata mambo mengi.. ngumu kukutana nao ila wapo bongo hapa hapa ni vilimo vyaoKipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.
Nikitulia nitakupa mifano...nimejaribu kulima miaka kadhaaHapana mkuu! Kilimo ni kati ya kazi zinazolipa sana ukikipatia.
Ni kosa?Oya we dogo punguza thread bas
Yaani siku moja unaanzisha zaidi ya nyuzi 6
Fanya hivyo mkuu, tafadhali๐Nikitulia nitakupa mifano...nimejaribu kulima miaka kadhaa
Na mimi nimeshangaa๐Ni kosa?
Aisee!Kuna jamaa mmoja ni mfugaji huko lichehe yeye kwa mwaka anaokota ndama zaid
Ya 500, idadi ya ng'ombe wake hata yeye hajui ni full kumuibia tu, yy ana hesabu ndama na kila mwaka anauza ng'ombe 300x500000= 150,000,000 Anatenga M 100 Kwa Mujibu wa maelezo yake hiyo ni kwaajili ya kulipa fidia ng'ombe wakiingia shambani mwa watu pia kuhonga wenyeviti wa vijiji na askar ili asifukuzwe huko lichehe kwasababu wakulima hadi kesho hatumtaki kule yule jamaa sijui hata tumfanyaje.
Ni kweli mkuu.Kuna pipo Zina pesa halafu hawana hata mambo mengi.. ngumu kukutana nao ila wapo bongo hapa hapa ni vilimo vyao
Hahah wamasai ndo pigo zao kulala na pesa ndaniKipindi cha uongozi wa hayati Magufuli, kuna Mmasai mmoja kule Monduli Arusha, alimkopesha mfanyabiashara wa sheli sh milioni mia mbili kwa ajili ya kuiamsha biashara yake ambayo kipindi hicho ilikuwa imeyumba sana.
Lakini kimwonekano huwezi fikiri kuwa anamiliki hata milioni moja๐
1. Mavazi yake ni mashuka ya Kimasai
2. Nyumba ni ya nyasi
3. Kitanda ni cha ngozi
Lakini alikuwa na zaidi ya sh milioni mia mbili ndani.
Aliyekopeshwa 200m alishtuka kuona "mzigo" wa hela ukitolewa ndani ya "kiduku" cha nyasi.
Baadaye alimshauri huyo Mmasai aache kutunza hela nyingi "ndani" kwani kufanya hivyo ni hatari kwa usalama wake.
Yaaap niliiona hiiWadau je,mnamkumbuka tajiri wa kampuni ya mabasi ya sumry? Huyu jamaa kwa kauli yake alikuwa na jumla ya mabasi 88 ,kutokana na changamoto ya ushindani na makampuni MENGINE, na pia changamoto ya madereva wake,alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuyauza mabus yake yote na kuelekea kwao rukwa na kuanza kufungua mashamba makubwa ya kilimo cha mahindi,ukiingia yotube utaiona amejieleza sana,
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Lakini nafikiri si vizuri sana. Kukaa na zaidi ya milioni mia moja ndani ni hatari. "Panya" wa miguu miwili wakigundua wanaweza kusababisha shida.Hahah wamasai ndo pigo zao kulala na pesa ndani
๐๐๐Wadau je,mnamkumbuka tajiri wa kampuni ya mabasi ya sumry? Huyu jamaa kwa kauli yake alikuwa na jumla ya mabasi 88 ,kutokana na changamoto ya ushindani na makampuni MENGINE, na pia changamoto ya madereva wake,alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuyauza mabus yake yote na kuelekea kwao rukwa na kuanza kufungua mashamba makubwa ya kilimo cha mahindi,ukiingia yotube utaiona amejieleza sana,
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app