Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Umeni impress nirudi kwenye mazoezi, kakitambi kalisepa na mwili ukapendeza asee now kimerudi nikivaa tishet inatuna mbele!!
 
Mbegu za maboga unaweka kaanga kama karanga ama ukaziosha ukazianika na kutafuna ama ukasaga unga wake ukapikia uji , ukatengenezea chapati za mayai ama ukatia unga wake kwenye supu
Sawa mkuu ila sukari ntaihama kuanzia leo hizo chapati za almond zina patikana wapi na hizi mbegu za maboga zinaliwa je ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg

Kwa hiyo tusipende kula


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna kunywa maji? Je ukila mchana tu half usiku unakula apple moja tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa mazoezi yanafanya watu wapungue basi hata wanaofanya mapenzi kila siku wangepungua sana, ila tu siri kubwa ya kupunguza mwili ipo kwenye kutumia nishati ya chakula katika kupumua. Everything else is a sellout.
Alternatively matumizi makubwa ya tangawizi hukausha mafuta kwenye mwili na kufanya upunguze uzito.
 
Hakuna kunywa maji? Je ukila mchana tu half usiku unakula apple moja tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi nilikuwa nimefunga Kama waislam wanavyofunga... Nakula na kunywa Mara 1 tu kwa siku ... Inahitaji moyo haswaaaaa. Baada ya wiki nilizoea ikawa kama ndio Sehemu ya maisha.. mpaka Sasa hivi siwezi kula Mara tatu kwa siku. Mara nyingi nakulaga Mara 2 au 1 moja kwa siku ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…