Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akifikisha miezi mi 3 si anatakiwa ale dada yangu?Wamama wajawazito. Kunyonyesha mtoto miezi 6 bila kumpa chochote kunasaidia kupunguza uzito ulikuja na ujauzito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeni impress nirudi kwenye mazoezi, kakitambi kalisepa na mwili ukapendeza asee now kimerudi nikivaa tishet inatuna mbele!!Nilikuwa na kilo 98 bonge la kitambi,Bonge la paja,bonge la mkono,...watu mtaani wakaanza kuniita bonge...hamna kitu kiliniuma kama kuitwa bonge...nkaanza mazoez nkashindwa mwlili mzito viungo vinauma...jaribu diet nikashindwa njaa inauma mpaka kizunguzungu nkakata tamaa....mda ukapita ...watu wanazid kuniita bonge...nkaenda gym nkaambiwe nilipie elfu 80 kwa mwezi...nkaenda benk kuchukua pesa...huwez hamini niliiangalia ile pesa mkononi nkasema yaani naenda kutoa elfu 80 gym wakati viwanja viko bure tuu!?[emoji848]...nkazama mtumbani nkanunu raba rut ikaanza...Kimbia sana mwez mzima nkapungua kilo 3...nkasema ahaaa kumbe inawezekana nkapata na elimu ya lishe....ratiba ikawa hivi
....Nikapunguza vyakula vya wanga yaani ugari nilikuwa nakula saizi ya ngumi yangu...mboga za majani kwa wingi sna yaana
.....Nilikuwa nakula pale nnapojisikia njaaa(watu weng tumezoea kula mara tatu kwa siku lakini chakula tunachokula ni kingi so kinakutana tumbon) Ki afya unaruhusiwa kula hata mara sita kwa siku lakini kidogo kidogo(unapojisikia njaa$
.....Nikaacha kabisa soda na nyama nyekundu(baadae sana nkaanza kutumia maana ukiwa kwenye mazoez ya kupunguza mwil kuna kitu kinaitwa 'cheating day'
......Ratiba yangu ya mazoez ilikuwa kila sku asubuhi saa kumi na moja nkiamka kufanya ibada naamkia kiwanjani ...kukimbia,kuruka kamba,na mazoez ya viungo(Asikuambie mtu zoez la kukimbia ndo zoez bora la kupunguza uzito
....Jioni nkirud kazini naingia tena kiwanjani
....Nkawa fiti kuna kipind nkawa na uwezo wa kukimbia mpaka round 30 za kiwanja....nkisem nkimbie road work nnawez kimbia mpaka km 20,15
...Nikapungua kilo pamoja na uzito nkawa na mwili mdogo na wa kawaida....nikawa na enjoy maisha
...Kutokana na hari ya kuwa na pumzi ya kutosha nakanza kucheza football
Sasa mpira wetu wa uswahilini upati mda wa kujiandaa unatoka nyumbani kiwanjani....sipati mda mwing wa kufanya mazoez sana(nacheza beki ya kati)...ka mwili kamerud kidooogo sema ka kawaida sio mnene[emoji2]
...MUHIMU...ukiitaka kupunguza uzito
...Punguza ulaji wa sukar na wanga
....kula sana mboga za majani kunywa sna maji
.....fanya mazoez
Ukipungua kwa kufanya mazoez na kufuata lishe unakuwa phyisical...ukifanya tu diet unapingua kama mgonjwa mgonjwa hivi...haui physical yaani[emoji23]...so fanya yote
Ukishachanganya mazoez chagua siku ambayo utaaita 'cheatind day' hii siku usifanye diet wala usifanye mazoez yaan kula tu junk...masoda kula chips kula,nyama hata kilo we kula(japo unywe maji meng).....huo ndo ushuhuda wangu wakuu...na kipind unajizuia kula vitu vya sukari utakuta mwili unatamani kula vitu vya sukari...tumia Tende zitakupunguzia tamaa ya kula sukari
....vitu vingine namna ya kunywa maji...kunywa maji nusu saa kabla ya kula na nusu saa baada ya kula....nini faida yake?....kunya maji kabla ya kula kutakufanya upunguze hamu ya kula...hivo hutokula chakula kingi....kinywa baada ya kula kutakusaidia digestion ifanyike kwa urahisi...tumezoea kunywa maji tukimaliza tu kula hii ni mbaya maana inaifanya utumbo kuwa mtepemtepe hivo kupunguz digestion
....kula matunda kwanz alafu chakula na sio chakula alafu matunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisimama wima uchi huoni uume wako.hvyo ni vitambi mchomoko.Umeni impress nirudi kwenye mazoezi, kakitambi kalisepa na mwili ukapendeza asee now kimerudi nikivaa tishet inatuna mbele!!
Una urefu gan mkuuSijawai kupunguza au kuongeza huu uzito wa Kilo 68Kg
Una urefu gan mkuu
Sawa mkuu ila sukari ntaihama kuanzia leo hizo chapati za almond zina patikana wapi na hizi mbegu za maboga zinaliwa je ?
Sent using Jamii Forums mobile app
I know a person ambaye alipunguza uzito from 97kg to 75kg... kwachakula tu. Bila mazoezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.
Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
Piga Mazoezi ya 6X6 - yanasaidia sana..... calories nyingi huwa zinachomwa hapo 6X6
Kula Mara moja kwa siku ndani ya mwezi mmoja , Kama umefunga mwezi wa ramadhani usipopungua uje humu kunitukana.
Ninaposema kula Mara moja namaanisha Mara moja kweli ... Unakula usiku tu mpaka usiku Tena wa siku inayofuata. Kuna kipindi nilifanya hivyo mwezi wa ramadhani nilikata kilo 15 ndani ya mwezi. Wiki ya kwanza unaweza kupepesuka kwa kiu ya maji ila ukizoea hutaamani kuacha.
NB: Hakuna njia ya kuumpunguza uzito isoyoumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi nilikuwa nimefunga Kama waislam wanavyofunga... Nakula na kunywa Mara 1 tu kwa siku ... Inahitaji moyo haswaaaaa. Baada ya wiki nilizoea ikawa kama ndio Sehemu ya maisha.. mpaka Sasa hivi siwezi kula Mara tatu kwa siku. Mara nyingi nakulaga Mara 2 au 1 moja kwa siku ...Hakuna kunywa maji? Je ukila mchana tu half usiku unakula apple moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenywe nna urefu huu ila klo ni 75 nataka nipige nipate 66172cm
Hapana.. mtoto anatakiwa anyonye miezi sita bila kunywa hata maji.Mtoto akifikisha miezi mi 3 si anatakiwa ale dada yangu?
Sawa, asante.Hapana.. mtoto anatakiwa anyonye miezi sita bila kunywa hata maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah jinga sana wewe