Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Lishe 80%
Mazoezi 20%
Kwa maana hiyo mazoezi bila lishe haisaidii
Achana na sukari na wanga, kula proteins na mbogamboga na matunda
Achana na matunda ya sukari pia

Kula unaposikia njaa tu
Kunywa maji pale mwili unapohitaji pia
Ukiweza kufunga utapata matokeo mazuri zaidi huku ukipata maji ila sio ufungulie kwa kula wanga na sukari

Hormones ndo adui wa uzito mkubwa hivyo ni muhimu pia kucheki hormone balance pale ambapo diet wala mazoezi hayasaidii
Kuna aina za shape/vitambi na vyanzo vyake sababu kubwa ikiwa ni hormones, ukielewa uko wapi hii itakusaidia management

Dr. Boaz Mkumbo amesaidia wengi kwa mujibu wa mashuhuda
Kuna mwingine pia ana clip nzuri sana u tube kuhusu matatizo yote ya uzito, ni muda wako na mb zako tu, utapata majibu ya maswali yako yote

Namtafuta nitawapa jina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr.Boaz Mkumbo ni tapeli tu kama kina Ndodi na wengineo.

Hasaidii watu bali anafanya biashara ya hizo lishe. Mbona yeye ameanza kunenepa sasa hivi? Time will tell.

Pia mtu hawezi kuishi bila kula vyakula vya wanga, hivi vyakula vinategemeana mwilini! Elimu elimu elimu! Mtu ashindie samaki na yai moja au mayai mawili siku nzima????!!!

Leta ushuhuda wa mtu aliyeshindwa kuishi bila hivyo vyakula vya wanga na sukari
Tatizo watu hatuwazi kupata maarifs mapya, hao wanaosema ni tapeli mbona hawamprove wrong??

Carbs 4kcal
Protein 4kcal
Fats 9kcal
Niambie shida anazopata mtu ambae akila protein na fats peke yake atashindwa ku survive
Yale mambo ya kuwa ubongo hauwezi kufanya kazi kisa unategemea glucose bado unayo??

Waulize waliofanya hizo diet kama wana matatizo yoyote, waje watoe shuhuda hapa
BTW hujalazimishwa kufanya usichotaka, kama unaona havina mashiko achana navyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lishe 80%
Mazoezi 20%
Kwa maana hiyo mazoezi bila lishe haisaidii
Achana na sukari na wanga, kula proteins na mbogamboga na matunda
Achana na matunda ya sukari pia

Kula unaposikia njaa tu
Kunywa maji pale mwili unapohitaji pia
Ukiweza kufunga utapata matokeo mazuri zaidi huku ukipata maji ila sio ufungulie kwa kula wanga na sukari

Hormones ndo adui wa uzito mkubwa hivyo ni muhimu pia kucheki hormone balance pale ambapo diet wala mazoezi hayasaidii
Kuna aina za shape/vitambi na vyanzo vyake sababu kubwa ikiwa ni hormones, ukielewa uko wapi hii itakusaidia management

Dr. Boaz Mkumbo amesaidia wengi kwa mujibu wa mashuhuda
Kuna mwingine pia ana clip nzuri sana u tube kuhusu matatizo yote ya uzito, ni muda wako na mb zako tu, utapata majibu ya maswali yako yote

Namtafuta nitawapa jina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sqna
 
Dr.Boaz Mkumbo ni tapeli tu kama kina Ndodi na wengineo.

Hasaidii watu bali anafanya biashara ya hizo lishe. Mbona yeye ameanza kunenepa sasa hivi? Time will tell.

Pia mtu hawezi kuishi bila kula vyakula vya wanga, hivi vyakula vinategemeana mwilini! Elimu elimu elimu! Mtu ashindie samaki na yai moja au mayai mawili siku nzima????!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule sio tapeli ila tu anatoa elimu ambayo itamsaidia sana mtu smbaye ana muda na yale mambo.

Ila kiukweli mtu anaweza kula chakula chochote kile na asiwe anabagua akifuata fomula mojs tu smbsyo ni..

KULA UNAPOJISIKIA NJAA.
.hii formula dr boaz kaisisitiza sana kwenye kitsbu chake.na haoni kama mtu kufanya diet bila kufata fomula hyo haoni kama diet yake itamsaidia.

Sasa utajiuliza licha ya vyakula bora alivyoviweka ambavyo havina madhara sana kwetu lakini bado anasema mtu ale anaposikia njaa?
Kwa nini isiwe free tu ule utakavyo maadamu vyakula havina shida?

Utaona kuwa ffomula ni moja na inafanya kazi katika vyakula vyote hsijalishi.

Na hyo ndo naiffata mimi,mazoezi nafanya kwa sababu yananifanya nijifeel comfortable ila sinaga ujinga wa diet ni kujitess,hata hizo lishe za dr fulsni na fulani bado ni kujitesa tu.

Kula unapohisi njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga Mazoezi ya 6X6 - yanasaidia sana..... calories nyingi huwa zinachomwa hapo 6X6
Yes yes niliwahi kushuhudia hii kwa bonge mmoja! Alikuwa anavaa mkanda ila kadri nilivyomshauri kuhusu hili tulikuwa tunapiga mechi za kila namna, alijikuta anapungua kiasi ila athari zake hata mimi zilinikumba. Maana nilipungua kwa kuendekeza migegedo heavily.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes yes niliwahi kushuhudia hii kwa bonge mmoja! Alikuwa anavaa mkanda ila kadri nilivyomshauri kuhusu hili tulikuwa tunapiga mechi za kila namna, alijikuta anapungua kiasi ila athari zake hata mimi zilinikumba. Maana nilipungua kwa kuendekeza migegedo heavily.

Sent using Jamii Forums mobile app

Safi sana... atleast SK2016 umeleta ushuhuda hapa; ngoja wengine waje pia kutoa ushuhuda....
 
Back
Top Bottom