Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Tumbo la chini kulitoa linahitaji uvumilivu mno....Yan kwa hizo kilo zako na height tumbo la chini hukupaswa kuwa nalo..

Fanya mazoezi ya tumbo kwa muda mrefu takribani mwezi mzima hvi..asubuhi na jioni kila siku..

Kazania hayo mazoezi kwa muda mrefu kama ukiweza kimbia ama ruka kamba kwa uchache ili usipungue kilo sana,Lengo liwe tu kutoa tumbo la chini...

Pale utakapoona maumivu endelea usiache mazoezi ya tumbo japo ukweli yanahitaji uvumilivu..

Usile sana vyakula vya mafuta kila siku...kula tu mara moja moja inapobidi...

Thank me later!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

asante sana kwa ushauri, unaweza kunisaidia hayo mazoezi ya tumbo au ni zile sit ups tu zinatosha
 
asante sana kwa ushauri, unaweza kunisaidia hayo mazoezi ya tumbo au ni zile sit ups tu zinatosha
Hizo ni nzuri ongeza na Crunches....zote hizo huondoa Fat belly...mazoezi ya tumbo yapo so Common..

Kuna mtu nimeona ameshauri Roller ni nzuri ila ukweli ni mazoezi magumu sana na yanahitaji uzoefu mkubwa....


Kubali kujitesa na uwe mvumilivu sana baadae utazoea na utapunguza tumbo vizuri...

Diet ni muhimu...kama bado unakula sana Chipsi au Red meat punguza ila sishauri uache unahitaji sana Protein kujenga mwili vyema...

Mwisho kabisa tupo hapa kupeana moyo usisite kutushirikisha Changamoto utazokutana nazo utapoanza ratiba ya mazoezi na diet ....itakusaidia sana kubaki kwenye mstari sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom