Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Fanya mazoezi ya kuondoa tumbonina kilo 57 mwili wa kawaida urefu 5'5 shida kakitumbo ka chini hakatoki natamani flat, mazoezi huwa naruka kamba kiasi na kutembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mazoezi ya kuondoa tumbonina kilo 57 mwili wa kawaida urefu 5'5 shida kakitumbo ka chini hakatoki natamani flat, mazoezi huwa naruka kamba kiasi na kutembea.
Dr.Boaz Mkumbo ni tapeli tu kama kina Ndodi na wengineo.Lishe 80%
Mazoezi 20%
Kwa maana hiyo mazoezi bila lishe haisaidii
Achana na sukari na wanga, kula proteins na mbogamboga na matunda
Achana na matunda ya sukari pia
Kula unaposikia njaa tu
Kunywa maji pale mwili unapohitaji pia
Ukiweza kufunga utapata matokeo mazuri zaidi huku ukipata maji ila sio ufungulie kwa kula wanga na sukari
Hormones ndo adui wa uzito mkubwa hivyo ni muhimu pia kucheki hormone balance pale ambapo diet wala mazoezi hayasaidii
Kuna aina za shape/vitambi na vyanzo vyake sababu kubwa ikiwa ni hormones, ukielewa uko wapi hii itakusaidia management
Dr. Boaz Mkumbo amesaidia wengi kwa mujibu wa mashuhuda
Kuna mwingine pia ana clip nzuri sana u tube kuhusu matatizo yote ya uzito, ni muda wako na mb zako tu, utapata majibu ya maswali yako yote
Namtafuta nitawapa jina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ushuhuda wa mtu aliyeshindwa kuishi bila hivyo vyakula vya wanga na sukariDr.Boaz Mkumbo ni tapeli tu kama kina Ndodi na wengineo.
Hasaidii watu bali anafanya biashara ya hizo lishe. Mbona yeye ameanza kunenepa sasa hivi? Time will tell.
Pia mtu hawezi kuishi bila kula vyakula vya wanga, hivi vyakula vinategemeana mwilini! Elimu elimu elimu! Mtu ashindie samaki na yai moja au mayai mawili siku nzima????!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sqnaLishe 80%
Mazoezi 20%
Kwa maana hiyo mazoezi bila lishe haisaidii
Achana na sukari na wanga, kula proteins na mbogamboga na matunda
Achana na matunda ya sukari pia
Kula unaposikia njaa tu
Kunywa maji pale mwili unapohitaji pia
Ukiweza kufunga utapata matokeo mazuri zaidi huku ukipata maji ila sio ufungulie kwa kula wanga na sukari
Hormones ndo adui wa uzito mkubwa hivyo ni muhimu pia kucheki hormone balance pale ambapo diet wala mazoezi hayasaidii
Kuna aina za shape/vitambi na vyanzo vyake sababu kubwa ikiwa ni hormones, ukielewa uko wapi hii itakusaidia management
Dr. Boaz Mkumbo amesaidia wengi kwa mujibu wa mashuhuda
Kuna mwingine pia ana clip nzuri sana u tube kuhusu matatizo yote ya uzito, ni muda wako na mb zako tu, utapata majibu ya maswali yako yote
Namtafuta nitawapa jina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule sio tapeli ila tu anatoa elimu ambayo itamsaidia sana mtu smbaye ana muda na yale mambo.Dr.Boaz Mkumbo ni tapeli tu kama kina Ndodi na wengineo.
Hasaidii watu bali anafanya biashara ya hizo lishe. Mbona yeye ameanza kunenepa sasa hivi? Time will tell.
Pia mtu hawezi kuishi bila kula vyakula vya wanga, hivi vyakula vinategemeana mwilini! Elimu elimu elimu! Mtu ashindie samaki na yai moja au mayai mawili siku nzima????!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbee!![emoji848]Piga Mazoezi ya 6X6 - yanasaidia sana..... calories nyingi huwa zinachomwa hapo 6X6
Yes yes niliwahi kushuhudia hii kwa bonge mmoja! Alikuwa anavaa mkanda ila kadri nilivyomshauri kuhusu hili tulikuwa tunapiga mechi za kila namna, alijikuta anapungua kiasi ila athari zake hata mimi zilinikumba. Maana nilipungua kwa kuendekeza migegedo heavily.Piga Mazoezi ya 6X6 - yanasaidia sana..... calories nyingi huwa zinachomwa hapo 6X6
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Du hii kwetu inaitwa kifutu
Yes yes niliwahi kushuhudia hii kwa bonge mmoja! Alikuwa anavaa mkanda ila kadri nilivyomshauri kuhusu hili tulikuwa tunapiga mechi za kila namna, alijikuta anapungua kiasi ila athari zake hata mimi zilinikumba. Maana nilipungua kwa kuendekeza migegedo heavily.
Sent using Jamii Forums mobile app