Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
72kgs kwa urefu gan?Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.
Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
5'10"72kgs kwa urefu gan?
Kumbe wale wale kina Zakayo!5'10"
Una utani na watu wewe. I'm only 2" short of 6ft, that's average height not short. I guess you are 7ft.Kumbe wale wale kina Zakayo!
Bei yake inaweza kufika ngapi hii?
Tukielekea mwishoni mwa mfungo wa mwezi wa Ramadhan badala ya kupungua nimeongezeka kilo moja. Kutoka 79Kgs hadi 80Kgs, natakiwa kupungua 8Kgs [emoji41][emoji41][emoji41]Kwa miezi hii minne iliyopita hadi kufikia Januari hii nimeweza kupunguza kilo 7, kutoka kilo 86 hadi 79. Tupende mazoezi, tujiepushe na kula ovyo hasa vyakula vya mafuta na ikiwezekana ratiba za chakula muda wa jioni tusile milo mizito na matunda ndio yachukue nafasi ya milo ya jioni.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Unakula sana daku usiku halafu unalalaTukielekea mwishoni mwa mfungo wa mwezi wa Ramadhan badala ya kupungua nimeongezeka kilo moja. Kutoka 79Kgs hadi 80Kgs, natakiwa kupungua 8Kgs [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Sio kweli mkuu, daku nakula saa 5 usiku then kidogo tu, isitoshe huwezi amini asubuhi nakuwa nafanya mazoezi. Nilichogundua siko kwenye ratiba ya kutumia matunda kama zamani.
Kama bado unadhani Fat burning especially belly fat inaweza ondolewa na mazoezi unapoteza muda tuu... sana ukifanya intense au overtraining ya mazoezi ndivyo belly fat inaongezeka...Hakuna njia bora ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Naludia tena hakuna njia bora na nzuli ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Hasa CARDIO EXERCISE.. Huku ukiwa makini na vyakula vyako..
Usiwe unatoka kufanya mazoez alafu unakimbilia maindi ya kuchoma tutaita work done = 0.. Zingatia mlo wako punguza matumiz ya vyakula vya wanga & sukali.. Ni kupunguza sio usitumie kabisa
Base sana kwnye protein, kunywa maji sio mpka uhisi Kiu. Matunda & mboga mboga.. N.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado unadhani Fat burning especially belly fat inaweza ondolewa na mazoezi unapoteza muda tuu... sana ukifanya intense au overtraining ya mazoezi ndivyo belly fat inaongezeka...
Noted, ushauri mzuri na wa kitaalamuHakuna njia bora ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Naludia tena hakuna njia bora na nzuli ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Hasa CARDIO EXERCISE.. Huku ukiwa makini na vyakula vyako..
Usiwe unatoka kufanya mazoez alafu unakimbilia maindi ya kuchoma tutaita work done = 0.. Zingatia mlo wako punguza matumiz ya vyakula vya wanga & sukali.. Ni kupunguza sio usitumie kabisa
Base sana kwnye protein, kunywa maji sio mpka uhisi Kiu. Matunda & mboga mboga.. N.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi nirudi tena kwenye uzi huu baada ya mwezi mtukufu kuisha nimeongezeka kg 2 , na kitambi kimeanza kurudi kwa kasi 😤, jana tar 1 nimerudia utaratibu wa awali ulionipa matokeo chanya, hopefully nitafanikiwa tena safari hii.Tukielekea mwishoni mwa mfungo wa mwezi wa Ramadhan badala ya kupungua nimeongezeka kilo moja. Kutoka 79Kgs hadi 80Kgs, natakiwa kupungua 8Kgs [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Binafsi ilinishangaza sana!Imebidi nirudi tena kwenye uzi huu baada ya mwezi mtukufu kuisha nimeongezeka kg 2 , na kitambi kimeanza kurudi kwa kasi [emoji36], jana tar 1 nimerudia utaratibu wa awali ulionipa matokeo chanya, hopefully nitafanikiwa tena safari hii.
Kwangu ilikuwa ngumu kubalance ulaji wa futari, ukizingatia na swaum ya mchana kutwa basi intake ya iftar ikawa kubwa zaidi, unywaji wa maji ukawa mdogo zaidi kufananisha na siku za kawaida.Binafsi ilinishangaza sana!
Mimi nimepungua kutoka 94 kgs mpaka 81 kgs kwa kufanya jogging kila siku kwa dakika 20 km 4Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio.
Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia, lishe kwa wote waliofanikiwa kupunguza uzito kwa kutegemea lishe na mazoezi.
Hii itaongeza hamasa kwa kila aliye na matarijio ya kudhibiti uzito.
Karibuni
na kilo ngapi kwa sasa mwamba?Fanya mazoezi, tena usijionee huruma. Mimi niliwahi kufikisha kg90 mwaka 2010, nilipoanza kupitia changamoto kadhaa nilianza kufanya mazoei. Kwa mfano nakimbia uwanja mkubwa 10 round, mara3 kwa wiki ,kwa sasa niko vizuri sana.