Hakuna njia bora ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Naludia tena hakuna njia bora na nzuli ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Hasa CARDIO EXERCISE.. Huku ukiwa makini na vyakula vyako..
Usiwe unatoka kufanya mazoez alafu unakimbilia maindi ya kuchoma tutaita work done = 0.. Zingatia mlo wako punguza matumiz ya vyakula vya wanga & sukali.. Ni kupunguza sio usitumie kabisa
Base sana kwnye protein, kunywa maji sio mpka uhisi Kiu. Matunda & mboga mboga.. N.k
Sent using
Jamii Forums mobile app