Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

wewe mdada mbona kila sehemu ni mtu wa vagi, mbaya nini kwako? Au una msongo wa mawazo kila sehemu ninapokuona sijawahi kukuta umecomment kistraabu wewe ni mtu wa ligi tu hahaha
 
Hahahaha, Dada naomba namba ya wakala aliye karibu yako upate Soda au juice hapo ulipo
 
Mleta mada omba mods wafute huu uzi acha upumbavu
 

Kwanini kujishusha kiasi hicho mkuu? Jambo la kwanza ni kujikubali mwenyewe. Na mtu atakaekuonea aibu kwa hali uliyonayo hawezi kuwa mtu mwema hata kama ungekua una status gani.
 
Mimi kuna mdada humu alinikataaga eti kisa nauzaga majeneza nikaona isiwe taabu nikaunda id mpya kila siku naposti mada za biashara nje ya nchi na magari baada ya mwezi hivi nikamfuata inbox akaingia kwenye mstari anatoa namba tukaanza mawasiliano mwisho wa siku tukapanga kuonana Dar nikamla huku yeye akijua mie mfanyabiashara wa kwenda China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimla kama mala mbili hivi baadae nahisi kuna kitu amestukia akanibrock kila sehemu
Ila ndo hivyo ashaliwa
 


Sikubahatisha kukupachika u profesa. Unaona ulivyowaza kwa mtazamo wa kipekee? Kwamba huenda anaogopa kupima kina cha maji kwa mguu akaona atumie fimbo.

Lakini ukiwa unapitia pitia nyuzi humu JF utagundua kwamba kuna watu wamefahamiana au kukutana wakafanya mambo mengi tu ya faida, japo walioumia nao wapo ila JF ni bahari pana, ukirusha jarufe linaleta samaki na viumbe wengine wasiohitajika kwa kitoweo. Hapo sasa ni ujuzi na ufanisi wa mvuvi. Binafsi nimenufaika sana na JF kwa maeneo mengi japo nimekutana na baadhi ya watu ambao siwezi kuwataja kwa kuwa haina ulazima wala si busara.

Nna kanuni yangu moja rahisi sana, JF inabaki JF na mtaani yanabaki huko huko. Ukiamua kujulisha uma kwamba unanifaham au tumekutana sio mbaya kwa sababu siishi kwa hofu au hatia yoyote. Hivyo basi ni maombi yangu anijalie uwezo wa kupambanua ni watu gani wanajielewa.

Mh! Rafiki, utaweza kukutana na sie wa elimu ya ngumbaro kweli? ( shake well before use). Una ufaham na uelewa wa mambo mengi sana, na kupitia michango yako nimejifunza vingi tu.
Ubarikiwe
 
Kwanini kujishusha kiasi hicho mkuu? Jambo la kwanza ni kujikubali mwenyewe. Na mtu atakaekuonea aibu kwa hali uliyonayo hawezi kuwa mtu mwema hata kama ungekua una status gani.

Nimezoea Kusema Ukweli na Maisha yenu ya Drama nikimaanisha ya Video ( Kudanganya ) siyawezi. Na sijaona tatizo hapo Kujiweka wazi Kwao.
 
wewe mdada mbona kila sehemu ni mtu wa vagi, mbaya nini kwako? Au una msongo wa mawazo kila sehemu ninapokuona sijawahi kukuta umecomment kistraabu wewe ni mtu wa ligi tu hahaha
Hahaaa mkuu unizoee tu nilivo Yani walah haihusiki na sitiress Wala lolote so relax mkuu, ndio ninavoandika JF
 
Kuna msela nilikuwa nae kwenye Auditing firm moja hivi, jamaaa alikuwa analipwa mi nilikuwa intern, sasa ikifika lunch time jamaa anaenda kula mi nikawa nabaki ofisini, nikawa naingia JF kuperuzi, siku moja akanikuta alafu nikawa najua haelewi kitu, si akaniambia naye ni member JF akanitajia members ambao ni maarufu JF akiwemo Bujibuji ,Msukuma wa dar ,Shunie na wengineo, aliisoma ID yangu mi yake siijui mpaka leo, Na mwingine niliyeonana nae live ni financial services , ni mrembo kwa kweli huyu dada, ni mstaarabu sana, nilimpenda kiasi chake, ni super tall (''Twiga'' tunawaita), najua hakumaind flag yangu coz kanizidi urefu, japokuwa mi sio mfupi...kifupi ni members wawili niliowahi kukutana nao live la kini huyu wa Kwanza siijiu Id yake...So ni member mmoja ninayeijua ID yake na nimemuona live....
 
NICE
 
Nimezoea Kusema Ukweli na Maisha yenu ya Drama nikimaanisha ya Video ( Kudanganya ) siyawezi. Na sijaona tatizo hapo Kujiweka wazi Kwao.

Kujikubali inatofauti sana na kujishusha au kuwa na maisha ya video. Na siwezi kusema mtu glani atanikimbia kutokana na hsli yangu, hiyo ni juu yake.

The Monk hana maisha ya video ila ana maisha ya jukwaani (JF) ndio maana JF inabaki JF na uhalisia unabaki kuwa uhalisia.

Nnachomaanisha, kujidharau sio jambo zuri.
 
yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…