Kuna watu huja PM na kujifanya marafiki mnapiga story kumbe anakudodosa apate mawili matatu, unaishije then baadae anakuja na I'd nyingine kuanzisha Uzi au kuku attack na kusambaza umbeya, Kuna mmoja akapeleka maneno Hadi kwa mahawara zake wa humu ilinishangaza Sana.
In short JF nikutokuzoeana na mtu kabisa wengi humu failures wa life unakuta hakujua anaandika ili aonekane na yeye anakujua sijui kwa faida ya Nani, waache utoto,
Binafsi Kuna watu nafahamiana nao kwa I'd nyingine wanajifanya wema tuna chart kwingine Wana ni attack na vitu vya uongo kwa taarifa siwezi kubadili I'd yangu kisa wasengerema wasiojielewa Nita change tu siku nikijiskia Ila sio kwa wapuuzi wanaojifanya kunijua, hata wakinijua Hadi kisimi I won't change anything.
Watu kueni jamani, great thinker Ila Kuna watu akili Bora za nyumbu, hii platform muhimu ya kushare mawazo sio ujinga woooi,
Muwe na siku njema wote mnaojielewa