Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Kuna watu wanakera Sana jamani Sasa unakuja wajifanya rafiki hunijui ile undani then unaanza kuandika uongo hadharani hawajui kuwa huku tuna wazazi, ndugu na marafiki, mtu anayetoa Mambo ya PM, na nje ya JF apigwe tu life ban wallah, kukutana na mtu au kutatuliana shida isiwe sababu za kusambiziana umbeya, Tena wanaume ni vinara sijui Wana shida gani wallah.
wewe mdada mbona kila sehemu ni mtu wa vagi, mbaya nini kwako? Au una msongo wa mawazo kila sehemu ninapokuona sijawahi kukuta umecomment kistraabu wewe ni mtu wa ligi tu hahaha
 
Kuna watu huja PM na kujifanya marafiki mnapiga story kumbe anakudodosa apate mawili matatu, unaishije then baadae anakuja na I'd nyingine kuanzisha Uzi au kuku attack na kusambaza umbeya, Kuna mmoja akapeleka maneno Hadi kwa mahawara zake wa humu ilinishangaza Sana.
In short JF nikutokuzoeana na mtu kabisa wengi humu failures wa life unakuta hakujua anaandika ili aonekane na yeye anakujua sijui kwa faida ya Nani, waache utoto,
Binafsi Kuna watu nafahamiana nao kwa I'd nyingine wanajifanya wema tuna chart kwingine Wana ni attack na vitu vya uongo kwa taarifa siwezi kubadili I'd yangu kisa wasengerema wasiojielewa Nita change tu siku nikijiskia Ila sio kwa wapuuzi wanaojifanya kunijua, hata wakinijua Hadi kisimi I won't change anything.
Watu kueni jamani, great thinker Ila Kuna watu akili Bora za nyumbu, hii platform muhimu ya kushare mawazo sio ujinga woooi,
Muwe na siku njema wote mnaojielewa
Hahahaha, Dada naomba namba ya wakala aliye karibu yako upate Soda au juice hapo ulipo
 
Watu pekee ambao napenda na natamani sana Kukutana nao kwakuwa ninatamani kuwa ' Genius / Brainy ' kama walivyo Wao na nawakubali sana, japo najua kwa Hadhi yangu ya ' Kikapuku / Kimasikini ' huku Dhiki, Taabu na Majaribu vikiwa ni Sehemu ya Maisha yangu wanaweza Kukataa Kukutana nami ni hawa Wafuatao....

1. Sky Eclat
2. Bila bila
3. kagoshima
4. Baba Swalehe
5. DOUGLAS SALLU
6. The Boss
7. Chakaza

JF ina ' Great Thinkers ' wengi tu na wote nawakubali hata kama wengine sijawataja katika Kikosi changu hiki ila hawa ( 7 ) ni wa Thamani sana tu.

Kwanini kujishusha kiasi hicho mkuu? Jambo la kwanza ni kujikubali mwenyewe. Na mtu atakaekuonea aibu kwa hali uliyonayo hawezi kuwa mtu mwema hata kama ungekua una status gani.
 
Mimi kuna mdada humu alinikataaga eti kisa nauzaga majeneza nikaona isiwe taabu nikaunda id mpya kila siku naposti mada za biashara nje ya nchi na magari baada ya mwezi hivi nikamfuata inbox akaingia kwenye mstari anatoa namba tukaanza mawasiliano mwisho wa siku tukapanga kuonana Dar nikamla huku yeye akijua mie mfanyabiashara wa kwenda China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimla kama mala mbili hivi baadae nahisi kuna kitu amestukia akanibrock kila sehemu
Ila ndo hivyo ashaliwa
 
Pengine OP anatamani kukutana na watu lakini anaogopa. Ameuliza ajue kama wengine wanakutana na ni kawaida?. Anataka kuwa inspired, Maybe?

Nikikutana na wewe sifanyi siri, chumba changu cha siri kimejaa The Monk na sina mpango wa kuongeza space.
Naomba tukutane.


Sikubahatisha kukupachika u profesa. Unaona ulivyowaza kwa mtazamo wa kipekee? Kwamba huenda anaogopa kupima kina cha maji kwa mguu akaona atumie fimbo.

Lakini ukiwa unapitia pitia nyuzi humu JF utagundua kwamba kuna watu wamefahamiana au kukutana wakafanya mambo mengi tu ya faida, japo walioumia nao wapo ila JF ni bahari pana, ukirusha jarufe linaleta samaki na viumbe wengine wasiohitajika kwa kitoweo. Hapo sasa ni ujuzi na ufanisi wa mvuvi. Binafsi nimenufaika sana na JF kwa maeneo mengi japo nimekutana na baadhi ya watu ambao siwezi kuwataja kwa kuwa haina ulazima wala si busara.

Nna kanuni yangu moja rahisi sana, JF inabaki JF na mtaani yanabaki huko huko. Ukiamua kujulisha uma kwamba unanifaham au tumekutana sio mbaya kwa sababu siishi kwa hofu au hatia yoyote. Hivyo basi ni maombi yangu anijalie uwezo wa kupambanua ni watu gani wanajielewa.

Mh! Rafiki, utaweza kukutana na sie wa elimu ya ngumbaro kweli? ( shake well before use). Una ufaham na uelewa wa mambo mengi sana, na kupitia michango yako nimejifunza vingi tu.
Ubarikiwe
 
Kwanini kujishusha kiasi hicho mkuu? Jambo la kwanza ni kujikubali mwenyewe. Na mtu atakaekuonea aibu kwa hali uliyonayo hawezi kuwa mtu mwema hata kama ungekua una status gani.

Nimezoea Kusema Ukweli na Maisha yenu ya Drama nikimaanisha ya Video ( Kudanganya ) siyawezi. Na sijaona tatizo hapo Kujiweka wazi Kwao.
 
wewe mdada mbona kila sehemu ni mtu wa vagi, mbaya nini kwako? Au una msongo wa mawazo kila sehemu ninapokuona sijawahi kukuta umecomment kistraabu wewe ni mtu wa ligi tu hahaha
Hahaaa mkuu unizoee tu nilivo Yani walah haihusiki na sitiress Wala lolote so relax mkuu, ndio ninavoandika JF
 
Kuna msela nilikuwa nae kwenye Auditing firm moja hivi, jamaaa alikuwa analipwa mi nilikuwa intern, sasa ikifika lunch time jamaa anaenda kula mi nikawa nabaki ofisini, nikawa naingia JF kuperuzi, siku moja akanikuta alafu nikawa najua haelewi kitu, si akaniambia naye ni member JF akanitajia members ambao ni maarufu JF akiwemo Bujibuji ,Msukuma wa dar ,Shunie na wengineo, aliisoma ID yangu mi yake siijui mpaka leo, Na mwingine niliyeonana nae live ni financial services , ni mrembo kwa kweli huyu dada, ni mstaarabu sana, nilimpenda kiasi chake, ni super tall (''Twiga'' tunawaita), najua hakumaind flag yangu coz kanizidi urefu, japokuwa mi sio mfupi...kifupi ni members wawili niliowahi kukutana nao live la kini huyu wa Kwanza siijiu Id yake...So ni member mmoja ninayeijua ID yake na nimemuona live....
 
Mm Kuna mdau mmoja kna sehemu nilienda nikamsikia anacheka mwenyew na simu nikamuuliza nn kinakuchekesha mzee utawehuka, bas mdau akaniambia apa nipo site moja hiv inaitwa JF Kuna topic huwa naipenda sana kuisoma sasa Kuna Comment imenichekesha, nikamjibu, ni uzi gani uo au uzi wa rikiboy wa tunda unausoma mzee, basi mdau alicheke sanaa akasema umejuaje ndio huo, basi tokea siku iyo mdau anaamini mm ni Rikboy eti namwambiaga mm mfuasi wake tuu km ww ila sio mm, mpaka leo ananiitaga Rick boy. Tokea siku iyo tukawa washkaji ila kwny I'D name hatujuani alikataa katu kusema ID yake ila mm nadhan km kasoma comment hii kashanisoma.
NICE
 
Nimezoea Kusema Ukweli na Maisha yenu ya Drama nikimaanisha ya Video ( Kudanganya ) siyawezi. Na sijaona tatizo hapo Kujiweka wazi Kwao.

Kujikubali inatofauti sana na kujishusha au kuwa na maisha ya video. Na siwezi kusema mtu glani atanikimbia kutokana na hsli yangu, hiyo ni juu yake.

The Monk hana maisha ya video ila ana maisha ya jukwaani (JF) ndio maana JF inabaki JF na uhalisia unabaki kuwa uhalisia.

Nnachomaanisha, kujidharau sio jambo zuri.
 
Habarin Wadau , kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana na watu mbali mbali na kutengeneza mahusiano , urafiki, biashara n.k. Je tangu Umeanza kutumia JF Je umewahi kukutana na mtu yeyote na kutengeneza

A. Urafiki
B. Mahusiano ya kimapenzi
C. Fursa mbalimbali e.g kimasomo, biashara , ajira
yes
 
Back
Top Bottom