Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mdada mbona umefurahi hivyo?? Hahaha
 
Acha kabisa dada.
Nimecheka mno dizain ya huyo mtu ni wale ambao nkitoka kuonana anakuja kukuchanba na id mpya kuwa miguu imepauka kwa vumbi.
Amesahau kwamba sasa hivi ni kipupwe
😆😆😆 aisee ila ni kweli.

Kajisifu kabisa eti najuana na watu wengi afu akasahau amelog in na ID teketeke
 
Natamani siku 1 nikutane na Member wa JF lakini

si ilimradi member,kuna ID baadhi natamani nikutane nao niwaone

wakoje,wanaongeaje,wanachekaje yani tupige story haswaaa n have fun zote

as Friends tu,lakini yote haya nataka yatokee automaticaly Bila kupangana na kupeana

location za wapi tukutane? wapi upo? umevaaje? umekaa kwa wapi?nk nk, kukutana kwetu

kutokee tu kama ambavyo mtu unaweza ukatembea barabarani ukaokota Hela,natamani itokee hivyo.
 
ila hii kuanza kupeana namba kupanga eti tukutane eneo flani saa flani

hiyo ki ukweli sitaki hata kwa wale member ninaotamani kukutana nao sitaki

mambo ya kupeana appointments,yani vitu vitokee naturaly bila kupangana yani ile

unashtuka paap unagundua kumbe wewe ndio Flani yes i like that,ila kupeana ahadi asee hiyo

tutaishia wasiliana kwenye simu mpk mwisho,labda tu itokee hawa ninaowasiliana nao wapate matatzo

na nikiwa kama rafiki yake nijione kbsa kuwa siwezi acha hili likapita bila mimi kufika eneo la tukio,kwa sababu

hiyo naweza jitosa ntaacha yote ntaenda kwa rafiki yangu kumtia moyo/kumfariji,nk ila tofauti na hapo tutaishia kuonana

kwenye msg na kupgiana simu ila kupanga kbsa leo naenda kukutana na kiinjekitile au Ngororo hiyo sijui kama itatokea.
 
Usimuogope Sky Eclat we mwanaume bhana. Just be cool and rational in front of her Yeah ni mrembo haswa na ana hoja nzito so jiandae
Unaweza ubao ukasoma vizuri kama Habibu B. Anga kwa Nifah 😀😀😀

Wanawake niliowazoea ni wale waoga waoga, wasiojiamini na wenye ' Upumbavu ' mwingi ili niwapelekeshe na kila mara nijione Mshindi tu Kwao.
 
ila hii kuanza kupeana namba kupanga eti tukutane eneo flani saa flani

hiyo ki ukweli sitaki hata kwa wale member ninaotamani kukutana nao sitaki

mambo ya kupeana appointments,yani vitu vitokee naturaly bila kupangana yani ile

unashtuka paap unagundua kumbe wewe ndio Flani yes i like that,ila kupeana ahadi asee hiyo

tutaishia wasiliana kwenye simu mpk mwisho,labda tu itokee hawa ninaowasiliana nao wapate matatzo

na nikiwa kama rafiki yake nijione kbsa kuwa siwezi acha hili likapita bila mimi kufika eneo la tukio,kwa sababu

hiyo naweza jitosa ntaacha yote ntaenda kwa rafiki yangu kumtia moyo/kumfariji,nk ila tofauti na hapo tutaishia kuonana

kwenye msg na kupgiana simu ila kupanga kbsa leo naenda kukutana na kiinjekitile au Ngororo hiyo sijui kama itatokea.
Mkiwasiliana mtu anakuwa anategemea makubwa. Ila ghafla bin vuu ndo mpango mzima. Hata mimi nikiwasiliana na mtu sana nakataga tamaa ya kuonana nae.
 
Watu pekee ambao napenda na natamani sana Kukutana nao kwakuwa ninatamani kuwa ' Genius / Brainy ' kama walivyo Wao na nawakubali sana, japo najua kwa Hadhi yangu ya ' Kikapuku / Kimasikini ' huku Dhiki, Taabu na Majaribu vikiwa ni Sehemu ya Maisha yangu wanaweza Kukataa Kukutana nami ni hawa Wafuatao....

1. Sky Eclat
2. Bila bila
3. kagoshima
4. Baba Swalehe
5. DOUGLAS SALLU
6. The Boss
7. Chakaza

JF ina ' Great Thinkers ' wengi tu na wote nawakubali hata kama wengine sijawataja katika Kikosi changu hiki ila hawa ( 7 ) ni wa Thamani sana tu.
we jamaa bhana 😂😂
 
Mkiwasiliana mtu anakuwa anategemea makubwa. Ila ghafla bin vuu ndo mpango mzima. Hata mimi nikiwasiliana na mtu sana nakataga tamaa ya kuonana nae.
Hapo mtakuwaa wote hamna nia ya kuonana au hakuna sababu inayowafanya muonane ...
 
Back
Top Bottom