ila hii kuanza kupeana namba kupanga eti tukutane eneo flani saa flani
hiyo ki ukweli sitaki hata kwa wale member ninaotamani kukutana nao sitaki
mambo ya kupeana appointments,yani vitu vitokee naturaly bila kupangana yani ile
unashtuka paap unagundua kumbe wewe ndio Flani yes i like that,ila kupeana ahadi asee hiyo
tutaishia wasiliana kwenye simu mpk mwisho,labda tu itokee hawa ninaowasiliana nao wapate matatzo
na nikiwa kama rafiki yake nijione kbsa kuwa siwezi acha hili likapita bila mimi kufika eneo la tukio,kwa sababu
hiyo naweza jitosa ntaacha yote ntaenda kwa rafiki yangu kumtia moyo/kumfariji,nk ila tofauti na hapo tutaishia kuonana
kwenye msg na kupgiana simu ila kupanga kbsa leo naenda kukutana na kiinjekitile au Ngororo hiyo sijui kama itatokea.