Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Wewe upo JF saa hii, wenzako ndipo wanapiga cha mwisho ili waamke fresh!

Vipi au jamaa ananiangusha

Acha kabisa dada.
Nimecheka mno dizain ya huyo mtu ni wale ambao nkitoka kuonana anakuja kukuchanba na id mpya kuwa miguu imepauka kwa vumbi.
Amesahau kwamba sasa hivi ni kipupwe
 
Back
Top Bottom