Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda naona kama chache hv ,hebu wekeni basi

Sijasikia wale wakukimbiana ubungo stendi na kwingineko huko
 
Shuhuda naona kama chache hv ,hebu wekeni basi

Sijasikia wale wakukimbiana ubungo stendi na kwingineko huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au weee ndo ulikimbiwa daddieeh? Mmmmh
 
Nimekutana na kaka mkuu Mshana Jr akannunulia bia kisha akanielekeza wanapouza chumvi ya mawe [emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka Mshana shukran sana, ntakutafuta tena 4 more life lessons [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna msela nilikuwa nae kwenye Auditing firm moja hivi, jamaaa alikuwa analipwa mi nilikuwa intern, sasa ikifika lunch time jamaa anaenda kula mi nikawa nabaki ofisini, nikawa naingia JF kuperuzi, siku moja akanikuta alafu nikawa najua haelewi kitu, si akaniambia naye ni member JF akanitajia members ambao ni maarufu JF akiwemo Bujibuji ,Msukuma wa dar ,Shunie na wengineo, aliisoma ID yangu mi yake siijui mpaka leo, Na mwingine niliyeonana nae live ni financial services , ni mrembo kwa kweli huyu dada, ni mstaarabu sana, nilimpenda kiasi chake, ni super tall (''Twiga'' tunawaita), najua hakumaind flag yangu coz kanizidi urefu, japokuwa mi sio mfupi...kifupi ni members wawili niliowahi kukutana nao live la kini huyu wa Kwanza siijiu Id yake...So ni member mmoja ninayeijua ID yake na nimemuona live....
Hahaa my friend of all the time, hizo sifa zote mmh haya bana🤝, flag yako mbona iko vizuri tuu
 
Back
Top Bottom