Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Hapana, hawa wote walihukumiwa kwa makosa waliyoyafanya na hata wale waliotolewa na mahakama ya rufani walihusika kwa namna moja au nyingine, labda kuna wengine wageni katika jukwaa hili lakini nakumbuka tuliletewa mpaka faili la kesi yao hapa tukasoma tukaona mwenendo wa kesi na ushahidi kuwa wote wamehusika, labda Mods mungeleta ile thread ya WOS katika kadhia hii, watu wasikurupuke na huruma za uwongo kwa wahalifu hawa!
 
shukran kwa hilo mkuu.
Na haya yadhihirisha kuwa hata watoto walifundishwa wakasema nini na mengine walitunga hata bila kuwashirikisha watoto. Njia ya mwongo fupi. Yawezekana watuhumiwa wakawa na makosa mengine lakini kitendo cha dola kuwatuhumu kwa ushahidi wa kutunga hata kama kipengele kimoja tu chatia dosari kubwa kwa kesi yote.
Bado jiulize eti mwal kafuatilia harufu kaamua kupeleleza na baadaye kaanza kumzungusha mtoto vituo vya afya kutaka apimwe. POlisi hakumbuki mpaka alipokataliwa huduma kwenye kituo? Eti mtoto kasema nikikuambia hutaniadhibu? Haviji kabisa.
 
walionewa..............lakini waendelee kudai haki yao mahakamani kwa sababu kisiasa hakuna msamaha wa raisi kwenye makosa ya ubakaji...........
 
Palipo na ukweli uongo hujitenga, it doesnt matter how long will it take, but there is a day we will knw byond doubt what happened.
 
ni kweli kabisa mkuu,wabakaji hawafai,nasuport hata wachinjwe ila"WAWE KWELI WABAKAJI"
naunga mkono.unajua kinachowafanya baadhi ya watu wamuonee huruma ni ule UTATA WA KESI kwanza kabisa pale kesi inapowahusisha familia moja. kosa moja, kesi moja. Sio kwamba watu wanamuonea huruma mbakaji.
 
Uko sahihi mkuu, lakin nadhan ungejiuliza kwann watu wanamuonea huruma babu seya! Mm namfaham babu seya kabla hata hajapewa hyo kesi kwa sababu nilisoma na mwanaye wa mwisho ambaye sasa hivi yuko huru pamoja na kaka yake anayejulikana kwa jina la nguza mbangu! Namfaham vizuri babu seya! Hii kesi ilipikwa na na mkuu wako wa kaya kwa taarifa yako! Ndo maana hata katika ile rufaa ya mwaka jana wakati inasomwa, Mabere Marando ambaye alikuwa wakili wao pamoja na ushahid aliouwasilisha pale alisema 'this is a cooked case', na akajaribu kufafanua! Cha ajabu hakimu wala hakuuliza ni mtu gani ambaye wao wanadhan aliipika ile kesi, unadhani ni kwa nin? Alikuwa anajua ile kesi ni ya nan....! Ila tunashukuru Mungu wawil wametoka, wamebaki mzee nguza na papii kocha! una swali mkuu?
sina swali.zaidi ya kuwa ombea kwa m.mugu hao waliobaki pia namuomba mungu apokee dua za watu wote wanao muombea mema babu seya na mwanae ila kama walihusika kwa namna yyte katika ubakaji huo,basi dua zetu zibadilike ziwe laana juu yao.
 
Uko sahihi mkuu, lakin nadhan ungejiuliza kwann watu wanamuonea huruma babu seya! Mm namfaham babu seya kabla hata hajapewa hyo kesi kwa sababu nilisoma na mwanaye wa mwisho ambaye sasa hivi yuko huru pamoja na kaka yake anayejulikana kwa jina la nguza mbangu! Namfaham vizuri babu seya! Hii kesi ilipikwa na na mkuu wako wa kaya kwa taarifa yako! Ndo maana hata katika ile rufaa ya mwaka jana wakati inasomwa, Mabere Marando ambaye alikuwa wakili wao pamoja na ushahid aliouwasilisha pale alisema 'this is a cooked case', na akajaribu kufafanua! Cha ajabu hakimu wala hakuuliza ni mtu gani ambaye wao wanadhan aliipika ile kesi, unadhani ni kwa nin? Alikuwa anajua ile kesi ni ya nan....! Ila tunashukuru Mungu wawil wametoka, wamebaki mzee nguza na papii kocha! una swali mkuu?

Mkuu hata kama Marando alisema hayo aliyoyasema lakini si lazima awe mkweli au tumuamini.Hivi kwanini msiisome hiyo hukumu mpaka mwisho wakuu?Babu Seya mwenyewe alishadai tena mahakamani kuwa hii kesi ni cooked na hata yule mwalimu ambaye ni mshtakiwa namba 5.Na walipoulizwa ni nani alipika hiyo kesi na kwanini,Babu Seya akashindwa kutoa majibu ya kuridhisha.Mwanaye walau(mshtakiwa no2),ndiye alisema wamepikiwa kesi kwavile wanaonewa wivu kwamba wao ni wanamuziki maarufu wenye mafanikio.Sasa Babu Seya mwenyewe kwanini hakumtaja huyo aliyemuhisi/anayemjua kuwa alipika hiyo kesi?Kumbuka ushahidi wote ulikuwa unambana na hii labda ingekuwa karata yake yakui 'soften' ile kesi,lakini wapi!
Mkuu soma hukumu.Yaani kuwafundisha watoto 10 wa miaka 6-8 na wote wakaseme almost sawa mahakamani tena baada ya kuwa cross examined for hrs then still wawe bold bila kuyumba na msimamo uleule,mkuu this is impossible!Miye nilikuwa naamini kama wewe baada ya hearsay za mtaani,lakini baada ya hii hukumu,nimeamini kuwa Babu Seya ni experienced rapist!
 
Mkuu hata kama Marando alisema hayo aliyoyasema lakini si lazima awe mkweli au tumuamini.Hivi kwanini msiisome hiyo hukumu mpaka mwisho wakuu?Babu Seya mwenyewe alishadai tena mahakamani kuwa hii kesi ni cooked na hata yule mwalimu ambaye ni mshtakiwa namba 5.Na walipoulizwa ni nani alipika hiyo kesi na kwanini,Babu Seya akashindwa kutoa majibu ya kuridhisha.Mwanaye walau(mshtakiwa no2),ndiye alisema wamepikiwa kesi kwavile wanaonewa wivu kwamba wao ni wanamuziki maarufu wenye mafanikio.Sasa Babu Seya mwenyewe kwanini hakumtaja huyo aliyemuhisi/anayemjua kuwa alipika hiyo kesi?Kumbuka ushahidi wote ulikuwa unambana na hii labda ingekuwa karata yake yakui 'soften' ile kesi,lakini wapi!Mkuu soma hukumu.Yaani kuwafundisha watoto 10 wa miaka 6-8 na wote wakaseme almost sawa mahakamani tena baada ya kuwa cross examined for hrs then still wawe bold bila kuyumba na msimamo uleule,mkuu this is impossible!Miye nilikuwa naamini kama wewe baada ya hearsay za mtaani,lakini baada ya hii hukumu,nimeamini kuwa Babu Seya ni experienced rapist!
sawa bro ngoja nami nije ni download hiyo hukumu nii some nijirizishe.asante kwa maelezo mazuri.
 
Huyu hakubaka mbona wote tunajua chanzo? kumbuka wimbo wake wa "SALIMA" ndio uliomponza mwenye masikio na asikie the home of great thinker.

Wewe kweli COMPLICATOR, waache wafungwa watumikie vifungo vyao.....Haiwezekani wote washawishiwe kitu kama hicho kwa interest ya mtu mmoja na jambo lenyewe halina Tija kwa Taifa (Mahakama, Haki za Watoto, Wazazi wa wale watoto, mapolisi, nk nk)....

Nikuulize swali ingekuwa wewe ni mmoja wa wale watoto walioambukizwa HIV na kupewa Fidia ya Tshs kama sikosei 2,000,000/= ungefanya nini? mambo mengine mujiangalie kwanza si vizuri kuyasema mambo ya kusikia ambayo si ya kweli........Picha za maungo matupu zimepungua............

TAFUTA PESA KWA NJIA HALALI...................................
 
MAPENZI YAKO WAPI
Kosa gani nililokukosea,
Kumbuka kusamehe itakusaidia maishani,
Kosa gani lisolosamehewa,

Huyu NI General Nguza Vickings, akimwmbia mbaya wake, ni kosa gani alilofanya, ambalo jamaa hawezi kusamehe! Mzee wa Vinyongo!
 
nani aliye waona hao watoto?mwl aliyekuwa anawapeleka mbona hakushtakiwa?mbona hakuna ushahidi wa daktari?...................................................................................P nguvu mpishe!
As a great thinker you should not make your arguments without considering available facts. Be aware that though the case was heard in a closed session for the protection of the minors involved the proceedings are available for the public. The case was heard,the witnesses presented and on merit the conviction was laid. It is a very sad story and you need not pose those unfounded questions to undermine the verdict.
 
Maumba nasikia alishatoka kwani wakati anatenda kosa sheria ilikuwa si kali kama sasa. Sijuhi alifungwa miaka mitano ile. Nasikia ni fundi maharufu wa suti za kiume huko magomeni.

Hivi na yule aliyekua anaitwa MAUMBA aliendaga wapi maana hata yeye alihukumiwaga kwa kesi ya kulawiti!
 
As a parent siwezi kuwatetea kina Nguza kwa kuwa sina ushaidi wa kufanya hivyo. Case ilikuwa inaendeshwa kwa siri ila nachelea kusema kuwa mimi siamini kuwa watoto wadogo wanaweza kutumiwa kusema uongo. Kama wangetaka kuwa set wangetumia watu wazima na kutengeneza hata case ya mauaji lakini si hii ya kutumia watoto. Sababu ni kwamba hao watoto wasingeweza ku fake kwani hili tukio litawafuata for the rest of their lives. Yani kwa sasa nina hakika wenzao wana wa identify kwa kubakwa na huyo mzee na watoto wake na wengine washasema watoto tayari ni HIV positive (sina hakika na hilo ila nimeshasikia) . How much can you pay a parent to destroy his/her child's personality. Tatizo letu watanzania ni kuongozwa na hisia (feelings) na si fact. Ndio maana tunasikia sijuhi viongozi wa dini wanauza madawa Zanzibar lakini serikali inawalinda. Feelings zitatupeleka pabaya. Tujitahidi kuwa neutral when it comes to judging. Mimi nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa nyimbo za Papi Kocha mtoto wa mfalme lakini bado kwa hili siwezi kuongozwa na mapenzi ya mziki.
 
Baada ya kupitia hiyo hukumu nimesikia kulia. Sidhani kama kuna adhabu inayowafaa. Na wale wanaowatetea labda wakiisoma watabadili mawazo. Kwa kweli inabidi wazazi tusali sana kulinda watoto wetu. Huu utakuwa sijuhi ushirikina? Sasa ushirikina gani na aligeuza mchezo endelevu??? Na inakuwaje watu wanakuwa washabiki kwenye issue nyeti kama hii??
 
pale juu nimesema inawezekanaje?watu wa familia moja wafanye kosa moja na wakati mmoja watoto aina moja.na madudu mengine like that. hivi hii familia haikuwa na mtu hata mmoja alie ona hilo jambo sio zuri? Bado najiuliza ina maana huyu mzee babu seya aliwaambia wanae kuwa kuna ubakaji wangefanya nao wakakubari? Kama kweli basi nadhani walikuwa na ugonjwa wa akili. Kuna mdau kasema tunaongozwa na hisia .
 
As a parent siwezi kuwatetea kina Nguza kwa kuwa sina ushaidi wa kufanya hivyo. Case ilikuwa inaendeshwa kwa siri ila nachelea kusema kuwa mimi siamini kuwa watoto wadogo wanaweza kutumiwa kusema uongo. Kama wangetaka kuwa set wangetumia watu wazima na kutengeneza hata case ya mauaji lakini si hii ya kutumia watoto. Sababu ni kwamba hao watoto wasingeweza ku fake kwani hili tukio litawafuata for the rest of their lives. Yani kwa sasa nina hakika wenzao wana wa identify kwa kubakwa na huyo mzee na watoto wake na wengine washasema watoto tayari ni HIV positive (sina hakika na hilo ila nimeshasikia) . How much can you pay a parent to destroy his/her child's personality. Tatizo letu watanzania ni kuongozwa na hisia (feelings) na si fact. Ndio maana tunasikia sijuhi viongozi wa dini wanauza madawa Zanzibar lakini serikali inawalinda. Feelings zitatupeleka pabaya. Tujitahidi kuwa neutral when it comes to judging. Mimi nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa nyimbo za Papi Kocha mtoto wa mfalme lakini bado kwa hili siwezi kuongozwa na mapenzi ya mziki.
najua watu wasomi ukiwaambia watumie akili za kuzaliwa hamtaelewana. Ila umeongea point kwa mba watu wawe neutral. Kuna kitu hapa wadau wana sema eti wale watoto wangekuwa wako je? Na mimi nasema wewe ungekua b.seya ndo unaambiwa na wanao kwa leo baba usiende mbari kuna watoto watakuja,tuje tuwanajisi.au wewe mtoto baba yako anakuambia hivyo ungemjibu nini? Mnasema kuhusu kufundisha watoto nini wakaseme mahakamani?hivi hata hizi sinema hatujaona jinsi watoto wanavyo fundishwa uzalishaji wa maneno?angalia picha ya kanumba anko jj kisha jiulize kama huyu mtoto kafanya vitu vinavyo vuta watazamaji wengi na kuteka hisia za wasomi.je inashindikanaje kufundishwa kwa ajili ya mahakamani.
 
Back
Top Bottom