Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia.

CAG pitia na kipande hiki..👇

A6D83E47-0016-43D9-833A-57A66AC11659.jpeg
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..

CAG pitia na kipande hiki..👇

Nyie si mnataka hela ije mtaani? Ndiyo inakuja kwa style hiyo. Hamjapigwa hapo mmeletewa hela mtaani..w
Kwako:
Magonjwa Mtambuka
Stroke
Kulwa Jilala
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..

CAG pitia na kipande hiki..👇

Tunakopa sanaa tunajenga kidogo wanaiba sanaaa
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..

CAG pitia na kipande hiki..👇

Ni mfumo gani ulikuwa unatumika hapo? Force Account au Ushindani?

Tuanzie hapo kwanza kabla hatujakupa jibu la kupigwa au kutopigwa.
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia.

CAG pitia na kipande hiki..[emoji116]

View attachment 2470268
Haya majengo huwa ni full zege hakuna tofali inatumika hapo.

Hizo kuta unazoona ni zege sio tofali niliona wakati wanajenga huku kwetu!

Nadhani hiyo ramani imetumika nchi nzima!
 
Kama ndivyo walau naweza kubali kidogo
Huku nnapokaa ilikua inajengwa kama hiyo nadhani ramani zinafanana!!

Hiyo raman imesanifiwa na chuo cha ardhi kwa jinsi nilivyosoma bango la mradi!!

Sema kitu sikupenda shimo la choo limewekwa mbele ya jengo!!

Nnachoweza sema haya ndiyo majengo imara yaliyo jengwa na serikalj miaka hii ya karibu achana na yale madarasa feki ya uviko
 
Hawa Mahakama huwa wanatumia Mkandarasi Ila Nina uzoefu wa sehemu fulani walipiga Pesa nyingi Sana na majengo yako chini ya kiwango.
Maana yake huo ni mfumo wa ushindani;
Hapo shida ya kwanza ni utaratibu wenyewe wa kiserikali, una loop holes nyingi sana za kufuja na ukienda kwenye ukaguzi unakuta msimamizi yuko clear kabisa
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia.

CAG pitia na kipande hiki..👇

View attachment 2470268
Majengo ya serikali mfuko mmoja wa saruji unatoa tofari 25 na si 60 Kama unavyotoa wewe,na mahitaji mengine ni hivyohivyo
 
Back
Top Bottom