The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Nyie si mnataka hela ije mtaani? Ndiyo inakuja kwa style hiyo. Hamjapigwa hapo mmeletewa hela mtaani..wHabari ndugu wapambanaji..
Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?
Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..
Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..
CAG pitia na kipande hiki..👇
Mchakato upi?Sidhani kama ni jengo peke yake nadhani ni mchakato mzima mpaka kukamilisha na jengo ndio imetumika hiyo fedha.
Tunakopa sanaa tunajenga kidogo wanaiba sanaaaHabari ndugu wapambanaji..
Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?
Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..
Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..
CAG pitia na kipande hiki..👇
Ni mfumo gani ulikuwa unatumika hapo? Force Account au Ushindani?Habari ndugu wapambanaji..
Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?
Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka Hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu,hapo gumepigwa..
Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia..
CAG pitia na kipande hiki..👇
Hawa Mahakama huwa wanatumia Mkandarasi Ila Nina uzoefu wa sehemu fulani walipiga Pesa nyingi Sana na majengo yako chini ya kiwango.Ni mfumo gani ulikuwa unatumika hapo? Force Account au Ushindani?
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujakupa jibu la kupigwa au kutopigwa.
Mafundi na maengineer watakuwa wamenielewa.Mchakato upi?
Haya majengo huwa ni full zege hakuna tofali inatumika hapo.Habari ndugu wapambanaji..
Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?
Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..
Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia.
CAG pitia na kipande hiki..[emoji116]
View attachment 2470268
Kama ndivyo walau naweza kubali kidogoHaya majengo huwa ni full zege hakuna tofali inatumika hapo. Hizo kuta unazoona ni zege sio tofali
Huku nnapokaa ilikua inajengwa kama hiyo nadhani ramani zinafanana!!Kama ndivyo walau naweza kubali kidogo
Maana yake huo ni mfumo wa ushindani;Hawa Mahakama huwa wanatumia Mkandarasi Ila Nina uzoefu wa sehemu fulani walipiga Pesa nyingi Sana na majengo yako chini ya kiwango.
Majengo ya serikali mfuko mmoja wa saruji unatoa tofari 25 na si 60 Kama unavyotoa wewe,na mahitaji mengine ni hivyohivyoHabari ndugu wapambanaji..