UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kila likitajwa jina la mbowe namkumbuka Chacha Wangwe. Jamaa ni katili sana, hata sishangai kumtishia Sumaye kwa sumu.Usikitajetaje jina huyu kichaa jiwe, ukilitaja unatukumbusha machungu ya kuporwa, kutekwa na kuuawa kwa ndugu jamaa na marafiki zetu