Shujaa wa Afrika aliyepambania taifa lake kumaliza tatizo la Umeme. Mradi wa JNHP ni suluhu kwa taifa letu

Shujaa wa Afrika aliyepambania taifa lake kumaliza tatizo la Umeme. Mradi wa JNHP ni suluhu kwa taifa letu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
1000012600.jpg
 
Ameweza sana sana kuikomboa Tanzania.

Mafisadi washindwage popote waliopo.
 
Huyu ndiye Rais wangu bora wa muda wote Afrika
 
Ameweza sana sana kuikomboa Tanzania.

Mafisadi washindwage popote waliopo.
At what human and material costs?Ukilinganisha bajet iliyokadiriwa kumaliza mradi na gharama zilizotumika ndio utajua kiasi gani wananchi wamepigwa kwenye huu mradi!’ Na kamwe serikali haitatoa hadharani actual costs za huu mradi!🥲🥲
 
Tangu Mtwara wavunjwe viuno ili gas ije Kinyerezi kumaliza tatizo la umeme ambalo mpaka leo linaenfelea kututesa sijui mtatumia maneno gani kunifanya niwaamini tena CCM
 
Sasa tatizo ni la tanzania anakuaje Shuja wa Africa?
 
dah ni kweliiii haipingikiiii siku mbili tatu hizi umeme haujakatika kabisaa
 
TATIZO LA MAGUFULI.

1. utekaji.
2.Mauaji.
3. Uongo.
4. Visasi.
5. Chuki nk.
 
Back
Top Bottom