Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbarikwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza akamatwa

Ujasiri wake ulipelekea kutengenezwa kwa filamu inayoelesea kisa hicho inayofahamika kwa jina la "Hotel Rwanda"

Paul anashukiwa kwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na makosa ya ugaidi

Mamlaka Uchunguzi ya Nchini Rwanda zimeeleza kuwa wamefanikiwa kukamata bwana Rusesabagina kwa kushirikiana na mataifa mengine bila kuyaweka wazi

Kwa nyakati tofauti, Paul Rusesabagina amekuwa akiikosoa Serikali ya Rais Kagame kwa jinsi ilivyomaliza mgogoro uliopelekea mauaji ya mwaka 1994

======

(CNN) Paul Rusesabagina, who saved hundreds of Rwandans during the genocide by sheltering them in the hotel he managed, and saw his story made into the Hollywood film 'Hotel Rwanda', has been arrested on terror related offenses, Rwandan authorities announced.

The country's bureau of Investigation said in a Twitter statement that Rusesabagina was now in their custody after being arrested "through international cooperation." It did not indicate which country helped them with the arrest.

An international warrant was issued for his arrest and he is currently in police custody in Kigali, Rwanda's capital, said the Rwanda Investigation Bureau.

Rusesabagina, 66, is accused of being the "founder, leader and sponsor of violent, armed, extremist terror outfits," the agency said.

Authorities in Belgium, where Rusesabagina has ties, told CNN he was not arrested in the country.

Belgium was "notified" Monday by Rwandan judiciary authorities of the arrest of Paul Rusesabagina, the spokesperson of the Belgian Federal Prosecutor Office, Eric Van Duyse, told CNN via email.

"To the best of our knowledge, he was not arrested in Belgium nor transferred from our country," Van Duyse added.

His supporters, and Rusesabagina himself, have long maintained that he became a target of Paul Kagame's government after sustained criticism of Kagame's government and the conduct of the Rwandan Patriotic Front in ending the genocide in 1994.

Rusesabagina gained prominence during the 1994 Rwandan genocide for saving hundreds of lives.

Around 800,000 Tutsis and moderate Hutus were killed in the genocide, which was led by Hutu extremists.

At the time, he was a manager at the Milles Collines hotel where he hid and sheltered people in the luxury hotel.

They survived genocide, now they're teaching vulnerable children to heal using photography

He was the real-life inspiration for the 2004 Hollywood film "Hotel Rwanda," starring Don Cheadle and Sophie Okonedo.

Rusesabagina has not lived in Rwanda since 1996 when he survived an assassination attempt.

He is the recipient of several human rights awards for his efforts during the genocide, including the US Presidential Medal of Freedom in 2005
 
Kagame ajiangalie huyo jamaa lazima wakubwa wa dunia wanamfuatilia Ana US highest civillian award inaitwa United States medal of freedom
Hiyo United States mental of freedom ndio ilimpa kiburi cya kuanzisha na ku support makundi yaliyo shambulia vijiji kuko nyungwe na nyabimata na kuua raia,msemaji wake Calixte yupo na alisema kila kitu.video YouTube zipo wakijigamba hayo.
 
Overrated movies !! Ulimuokua yule aliekuwa na hela alizokua Ana charge watu ili awafiche humo hotelini aliekosa alitupwa inje,kwenye movie hakuweka hayo na wale waliokua wana chajiwa wapo. Alafu ya movie hayahusiani na aliyo yafanya badae. Nakingine hakunaga shujaa alie haii! Anaweza kukosea any time na kupoteza ushujaa wake,anaweza pewa award ila kumuita shujaa nikosa watu wanafanya.anaweza kufanya kitendo kibaya badae.
 
Alisaidia wengi kwani hotel wanaingia watu wangapi? Na usilolijua watu walikua go down tu! Na kingine aliingiye yule alie lipa kiasi alichokua ana wa chai, hakuficha bure! Alitengebeza hela iliyo msaidia kwenda ku wadanganya wazungu.
 
Hiyo United States mental of freedom ndio ilimpa kiburi cya kuanzisha na ku support makundi yaliyo shambulia vijiji kuko nyungwe na nyabimata na kuua raia,msemaji wake Calixte yupo na alisema kila kitu.video YouTube zipo wakijigamba hayo.
Haki zifuatwe

Belgium wemkingiaga sana kifua huyo jamaa , Belgium walikataa katakata kumpeleka Rwanda akashtakiwe

Kama Kagame akitenda haki haitakuwa shida

Ogopa sana mtu medali ya kiraia ya juu kuliko zote ambayo mwanachi wa Marekani anaweza kupewa

Sasa Kagame akafanya umafia hapa atakutana na kibano, huyo jamaa amejipatia umaarufu sana na hilo tukio la hotel mille Des collines na hiyo medali iogope sana sana inamaana by defacto jamaa ni raia wa heshima wa USA
 
Kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni
Huyo jamaa amejipatia umaarufu kwa hilo tukio la hotelini la kuwaokoa watu wasiuawe sasa chochote kibaya akifanyiwa Watu watalipuka kuanzia media mpaka wananchi na hapo ndio Kagame atawafahamu vizuri wanasiasa wa nchi za Magharibi
 
Wanasema huyo jamaa 'wamemteka' akiwa Dubai,kuna video yake nimeiona inapostiwa kule twitter akiongea kwa kiingereza akipongeza mashambulizi yaliyoua watu kadhaa na kuchoma magari yaliyofanywa na kikundi chake huko Rwanda chini ya yule msemaji wao aliyekua anajiita Major Sankara ambae nae 'walimteka' kule Comoro sasa yuko Kigali akiwa na kesi.

So nadhani yule msemaji wake anayejiita Major Sankara ndie atatumika kumchoma huyo jamaa.

Wazungu kule twitter wamechachamaa balaa kwa hasira,naona wanajibiwa kwa kuwekewa hio video jamaa akipongeza kikundi chake kwa mashambulizi hayo,wanakua wapole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…