Sure na jamaa anaheshimika sana huko Ulaya+Marekani mpk ana foumdation yake kubwa tu khs hayo mambo ya Genocide hawa wakina Geoge W. Bush,Hillary Clinton jamaa yuko nao karibu sana tu.
Rwanda wao wanachomshutumu ni kwamba:
1.Akiwa Meneja wa hotel Rwanda aliokoa watu waliokua wanampa pesa tu,kama hauna pesa anaruhusu interahamwe wakuchukue unaenda kupigwa panga nje then imeisha hio.,kuna kitabu kinaitwa Inside Hotel Rwanda walionusurika wameelezea kilichotokea humo ndani ya hio hotel.
2.Kuunda kikosi cha waasi na kushambuliwa Nchi hio huku pesa akizipata kupitia fundraising anayoifanya chini ya taasisi yake ya mambo ya genocide.
Kiufupi mpk Rwanda abadilishe akili za wazungu+watu wengine duniani khs mtu huyo ambao wanamuona kama 'hero' kwao itawachukua muda sana.