Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

Rwanda ukiwa kibaraka wa mabeberu kama alivyo Lissu PK akuwachi.aya mambo ya kutukana Rais na serikali yake yapo Tanzania,Rwanda ukithubutu utajuta wewe na kizazi chako.
Hahah daah taratibu mzee baba,huyu aliyekamatwa naona ni raia kabisaa wa belgium na ni permanent resident wa US naona nchi hizo zimeanza kulalamika hazielewi 'alitekwaje' huko Dubai.
 
Wazungu sometimes don't give the fuc.k about Africans&other races.

Yule Kashogi si aliuwawa ndani ya ubalozi wa uturuki wazungu waliifanya nini Saudi Arabia mpk sasa?

PK ana makando kando kibao lkn ndiye rais pekee anayeenda kupiga lectures huko kwa wazungu Harvard University,Cambridge,King's College etc,kila siku yuko huko Davos na hao hao wazungu na wala hawahaingiki nae.

Wanaweza kuishia kuweka tu hashtags huko twitter ndo nitolee hio.

Inshort,mimi naona wazungu hua wanaangalia maslahi yao tu kama hujawagusa wala hawahangaiki na wewe hata uuee raia wako nchi nzima wanapiga kimya kama hawaoni vile.,gusa maslahi yao sasa ndio utawajua vzr.

Let's wait&see mkuu.
Watu wakiandamana habari nyingine hiyo

Maandamano ya raia wakipinga Vita ya Vietnam yalisaidia Serikali ya US ikaachana na Vita ya Vietnam

Hapa juzi maandamano yamefanya makubwa kuhusu polisi wa USA Serikali ikachukua hatua
 
Hahah daah taratibu mzee baba,huyu aliyekamatwa naona ni raia kabisaa wa belgium na ni permanent resident wa US naona nchi hizo zimeanza kulalamika hazielewi 'alitekwaje' huko Dubai.
Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.
 
Rwanda ukiwa kibaraka wa mabeberu kama alivyo Lissu PK akuwachi.aya mambo ya kutukana Rais na serikali yake yapo Tanzania,Rwanda ukithubutu utajuta wewe na kizazi chako.
Sio hivo brother! Rwanda na Tanzania historia ziko tofauti sana! Najua lissu akiamua
Rwanda ukiwa kibaraka wa mabeberu kama alivyo Lissu PK akuwachi.aya mambo ya kutukana Rais na serikali yake yapo Tanzania,Rwanda ukithubutu utajuta wewe na kizazi chako.
Sio hivo brother! Rwanda na Tanzania historia ziko tofauti sana,mbona lissu anapigwa risasi mchana je akiunda kikosi cha kijeshi itakuje? Rwanda waliotekeleza mauaji wengiwao wako inje na niya Yao iko palepale.
 
Watu wakiandamana habari nyingine hiyo

Maandamano ya raia wakipinga Vita ya Vietnam yalisaidia Serikali ya US ikaachana na Vita ya Vietnam

Hapa juzi maandamano yamefanya makubwa kuhusu polisi wa USA Serikali ikachukua hatua

'Maandamano ya raia wakipinga Vita ya Vietnam yalisaidia Serikali ya US ikaachana na Vita ya Vietnam'

Maandamano yale yalikua influenced na vyombo vya usalama vyenyewe ili ipatikane Exit planning ya Us Kutoka Vietnam,usicheze na wanajeshi wa US 58,000 kuuwawa huku body bags zikirudishwa US kila siku.

US inaingilia sehemu kwenye maslahi tu,hao Rwanda walivyochinjana mpk kufikia karibu watu 1mil mbona haikufanya chochote kusaidia?Sababu ni hakuna chochote wanachokitaka Mafuta,madini,gas labda wangeishia kupata tu zile ndizi za kupika na kahawa.

'America has no permanent friends or enemies, only interests'-Henry Kissinger
 
Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.
Rais anaejitambua analinda nchi kwa hali na mali. Alafu usalama wa Rais first ya siasa badae.
 
'Maandamano ya raia wakipinga Vita ya Vietnam yalisaidia Serikali ya US ikaachana na Vita ya Vietnam'

Maandamano yale yalikua influenced na vyombo vya usalama vyenyewe ili ipatikane Exit planning ya Us Kutoka Vietnam,usicheze na wanajeshi wa US 58,000 kuuwawa huku body bags zikirudishwa US kila siku.

US inaingilia sehemu kwenye maslahi tu,hao Rwanda walivyochinjana mpk kufikia karibu watu 1mil mbona haikufanya chochote kusaidia?Sababu ni hakuna chochote wanachokitaka Mafuta,madini,gas labda wangeishia kupata tu zile ndizi za kupika na kahawa.

'America has no permanent friends or enemies, only interests'-Henry Kissinger
Ishu sio serikali issue ni raia

Serikali ya USA inataka raia wa US wasimiliki bunduki kiurahisi na waharamishe bunduki zenye uwezo wa kupiga rapid ,Raia hawataki hapa sasa ndio inakuja kuonekana nguvu ya raia
 
Issue nyingine huyo jamaa medali inambeba huwezi kumharass mtu ana medali ya juu ya kiraia ya US usitingishwe
 
Ishu sio serikali issue ni raia

Serikali ya USA inataka raia wa US wasimiliki bunduki kiurahisi na waharamishe bunduki zenye uwezo wa kupiga rapid ,Raia hawataki hapa sasa ndio inakuja kuonekana nguvu ya raia
Hapo raia hata waandamane kwa miaka 10 hakuna kitakachotokea,National Rifle Association(NRA) hao Obama aliwashindwa,Trump hawawezi,Maraisi waliopita waliwashindwa.

Mabingwa wakufanya Lobbying na wachangajia wakuu wao hao akina Trump/Biden kwny Kampeni zao.
 
Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbarikwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza akamatwa

Ujasiri wake ulipelekea kutengenezwa kwa filamu inayoelesea kisa hicho inayofahamika kwa jina la "Hotel Rwanda"

Paul anashukiwa kwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na makosa ya ugaidi

Mamlaka Uchunguzi ya Nchini Rwanda zimeeleza kuwa wamefanikiwa kukamata bwana Rusesabagina kwa kushirikiana na mataifa mengine bila kuyaweka wazi

Kwa nyakati tofauti, Paul Rusesabagina amekuwa akiikosoa Serikali ya Rais Kagame kwa jinsi ilivyomaliza mgogoro uliopelekea mauaji ya mwaka 1994

=======

Paul Rusesabagina - known for saving more than 1,000 people in the hotel he managed during the 1994 Rwandan genocide, a story later told into the Hollywood film Hotel Rwanda - has been arrested on terror charges.

The Rwanda Investigation Bureau (RIB) said in a statement on Monday the 66-year-old government critic had been arrested abroad in an unnamed location on an international warrant and taken to the country to face charges "of serious crime including terrorism, arson, kidnap and murder".

The announcement came as officers brought Rusesabagina - in handcuffs and a face mask - to the RIB's headquarters in the capital, Kigali, where he was shown to the press. Rusesabagina did not speak to the media.

"Rusesabagina is suspected to be the founder, leader, sponsor and member of violent, armed, extremist terror outfits including the Rwanda Movement for Democratic Change [MRCD] operating out of various places in the region and abroad," police said.

The 2004 Oscar-nominated film Hotel Rwanda showed Rusesabagina, a Hutu married to a Tutsi, as using his influence as a manager of the Hotel des Mille Collines, to allow more than 1,200 Tutsis to shelter in the hotel's rooms. In the film, Rusesabagina was played by US actor Don Cheadle.

About 800,000 Tutsis and moderate Hutus were slaughtered in 100 days in Rwanda from April 6.

A well-known critic of President Paul Kagame, Rusesabagina had been living outside Rwanda since 1996, including in Belgium and the United States. He has won several international honours, including the US Presidential Medal of Freedom, which President George W Bush awarded him in 2005.

Back home, however, Rusesabagina remains a "hugely controversial figure" where his status as a rescue hero in 1994 has been contested by a range of actors, according to senior lecturer Nicola Palmer at King's College London.

Rusesabagina has sparked outrage with warnings of another genocide, this time by Tutsis against Hutus, drawing criticism from some genocide survivors and Kagame who accused him of exploiting the genocide for commercial gain.

Rusesabagina has previously denied the government's charges that he financially supports Rwandan rebels and said he was the victim of a smear campaign.

"What is key is that this arrest comes at a time when there have been a large number of international arrest warrants that have been enacted in a range of countries against the Rwandan diaspora", Palmer said, noting that this is the third high profile arrest in the last three months.

"I think what we are seeing is a growing international support for the Rwanda's government in executing international arrest warrants," she added.

During his years abroad, Rusesabagina has also called the government of Kagame - who has been in power since 1994 when his forces overthrew the genocidal regime - a "dictatorship" and urged Western countries to press it to stop violating human rights - allegations the government denies.

Once championed in Western capitals as a reformer, Kagame has been criticised for overseeing constitutional changes to prolong his rule and cracking down on opposition voices.

Source: Hotel Rwanda film hero Paul Rusesabagina held on terror charges

View attachment 1554338View attachment 1554341View attachment 1554342View attachment 1554364

I hate PK. Imetosha sasa. He doesn't heal the wounds of tribalism. He pours salty water almost every day. Atavuna anachopanda
 
Kagame ajiangalie huyo jamaa lazima wakubwa wa dunia wanamfuatilia Ana US highest civillian award inaitwa United States medal of freedom
PK is a criminal. Kwanini hataki wanyarwanda wengine waonekane?
 
Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.

mbona misheni ya kumlipua kikwete haijatimia ? mbona mission ya kuipindua Burundi haijatimia.. anaonea wapuuzi wenzake wa rwanda tu< congo alisumbua sana ila baada ya Tanzania kupeleka majeshi tu chaliii
 
Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.
Nadhani next target sasa itakua kwa yule aliyekua mkuu wa Majeshi aliyekimbilia S/Africa,nadhani ni 'big fish' aliyebakia akiwasumbua kichwa.
 
Back
Top Bottom