Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

Mungu amembariki maisha mrefu, ikisimamia Haki hakika utaishi
 
Mbn wenzetu wanaish miaka ming huku Africa tunaambiwa tusile makemiko sjui junk food ina maana wao wanakula nn wasee mlioko mamtoni huko
Wazungu kiukweli wanaishi miaka mingi aisee sio uongo
Kuna ndugu yangu 1 yupo huko anafanya kazi za kuwatunza hao wazee😁😁😁yaani miaka akuanzia 90 , 100+ kawaida tu yaani tena wakiwa na nguvu
 
Unatafuta nini tena zaidi ya uchumi ulionao sasa hivi? Au unataka uwawekee na wajukuu wa wajukuu zako? Uongo eti!
Bado, kwenye fasihi tulisoma ili mwandishi awe huru ni lazima awe na vitu vingi ikiwemo uchumi imara. Nina apply same principle.

Chukua kijiti mara moja uendeleze mapambano.
Naomba unipigie…..! Usinifokee lakini kwa ile ya jumapili πŸ˜‚πŸ˜©
 
Bado, kwenye fasihi tulisoma ili mwandishi awe huru ni lazima awe na vitu vingi ikiwemo uchumi imara. Nina apply same principle.


Naomba unipigie…..! Usinifokee lakini kwa ile ya jumapili πŸ˜‚πŸ˜©

Naelewa, nilikua nimekumbuka jibu la uncle wangu ukimuuliza au uongo? Eeeh uongo.

Hiyo kesi bado ipo hatua ya upelelezi tusi iongelee. Ukiambiwa una kesi ya kujibu, tutajua kama kuna kufokewa au kesi iende mahakama ya rufaa.
 
Naelewa, nilikua nimekumbuka jibu la uncle wangu ukimuuliza au uongo? Eeeh uongo.

Ukweliiiii (kwa sauti ya Sam) πŸ˜…
Hiyo kesi bado ipo hatua ya upelelezi tui iongelee. Ukiambiwa una kesi ya kujibu, turajua kama kuna kufokewa au kesi iende mahakama ya rufaa.
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Amekufa huku kaacha wanawake wanalipwa mshahara pungufu .Kiufupi , hamna alichofanya zaidi ya kupambania wavae nusu uchi tu , bado kwenye kazi wanachukuliwa kama second class huku wanaume wakilipwa pesa ndefu.
hana tofauti na wewe
unapumua lakini unatumia pumzi yako ku sabotage wapenda mabadiliko nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…