binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
😀😀😀😀 Unajua kitakachonitokea!Muwahi sa100 ikulu umfafanulie idea zako inaweza isifike kumi ikawa mpaka 2028 hapo ukaanza vitu vyako ukichukulia kiti kipo wazi kama unavyoona.
😀😀😀😀 Unajua kitakachonitokea!Muwahi sa100 ikulu umfafanulie idea zako inaweza isifike kumi ikawa mpaka 2028 hapo ukaanza vitu vyako ukichukulia kiti kipo wazi kama unavyoona.
Ila😆 mnatutakia mabaya sana wajameni🙆🏽♀️Siyo mbaya sana.Mola aipokee nafsi yake na asimuangazie mwanga mkali unaopofusha macho.Aaaamiin beibi!Oooh sorry!Amin.
Mungu amembariki maisha mrefu, ikisimamia Haki hakika utaishiGloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne nzima kupigania usawa wa kijinsia na haki za binadamu duniani kote.
Msiba huo umewakusanya wananchi na mashabiki wake nje ya nyumba yake ya Manhattan, ambapo walifika kuweka shada za maua na kutoa heshima zao za mwisho. Miongozo na harakati zake za kuelimisha jamii kupitia uandishi makini, hotuba za hadharani, na kupinga ukatili dhidi ya wanawake vilihamasisha mabadiliko makubwa ya kisheria na kijamii ambayo yanawanufaisha wanawake hadi leo.
Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa kwenye ukurasa wake wa Instagram, jamii imemkumbuka Steinem kama shujaa aliyetumia uwezo wake wa kuwasikiliza wengine na kuwatetea bila woga. Mchango wake mkubwa utaendelea kuishi kupitia vitabu vyake tisa na harakati mbalimbali alizozasisi na kuzipigania hadi mwisho wa maisha yake.
=============
Gloria Steinem, the American feminist and journalist whose activism helped push through greater rights for women around the world has died, aged 92.
Steinem “passed away peacefully at her home in New York City, surrounded by some of the many who loved her”, a statement shared to her Instagram page said.
“Gloria’s near-century on earth were years well-lived, and she continued working for equality until the very end,” the post added. “Gloria’s greatest gift was her ability to listen to others, to make others feel seen and heard. Her words, actions, and example gave people permission to be their truest selves.”
Steinem brought a feminist perspective into the mainstream through rigorous journalism, public speaking and activism. The author of nine books, she campaigned against domestic violence, female genital mutilation, the pornography industry and the Vietnam and Gulf wars. She also worked in support of causes including Black Lives Matter, the reunification of Korea, female reproductive rights, LGBTQ+ rights and the Times Up movement. In 1984, she was arrested while protesting against apartheid outside the South African embassy in Washington DC.
Source: The Guardian
Acha uongoAmekufa huku kaacha wanawake wanalipwa mshahara pungufu .Kiufupi , hamna alichofanya zaidi ya kupambania wavae nusu uchi tu , bado kwenye kazi wanachukuliwa kama second class huku wanaume wakilipwa pesa ndefu.
Kidampa, unatafuta hifadhi ya ukimbizi?Acha uongo
Wazungu kiukweli wanaishi miaka mingi aisee sio uongoMbn wenzetu wanaish miaka ming huku Africa tunaambiwa tusile makemiko sjui junk food ina maana wao wanakula nn wasee mlioko mamtoni huko
Kwanini Mkuu?Kidampa, unatafuta hifadhi ya ukimbizi?
Unatafuta nini tena zaidi ya uchumi ulionao sasa hivi? Au unataka uwawekee na wajukuu wa wajukuu zako? Uongo eti!Miaka 10 ijayo nitakuwa tayari.
Nahitaji uchumi imara, elimu ya kutosha na support system nzuri.
Bado, kwenye fasihi tulisoma ili mwandishi awe huru ni lazima awe na vitu vingi ikiwemo uchumi imara. Nina apply same principle.Unatafuta nini tena zaidi ya uchumi ulionao sasa hivi? Au unataka uwawekee na wajukuu wa wajukuu zako? Uongo eti!
Naomba unipigie…..! Usinifokee lakini kwa ile ya jumapili 😂😩Chukua kijiti mara moja uendeleze mapambano.
Bado, kwenye fasihi tulisoma ili mwandishi awe huru ni lazima awe na vitu vingi ikiwemo uchumi imara. Nina apply same principle.
Naomba unipigie…..! Usinifokee lakini kwa ile ya jumapili 😂😩
Naelewa, nilikua nimekumbuka jibu la uncle wangu ukimuuliza au uongo? Eeeh uongo.
Dah 😂😂😂😭😭😭Hiyo kesi bado ipo hatua ya upelelezi tui iongelee. Ukiambiwa una kesi ya kujibu, turajua kama kuna kufokewa au kesi iende mahakama ya rufaa.
okHAPANA.
Si ndio huyo uncle mwenyewe sasa!Ukweliiiii (kwa sauti ya Sam) 😅
Dah 😂😂😂😭😭😭
Kumbe kunae sensa na hausemi.HAPANA.
hana tofauti na weweAmekufa huku kaacha wanawake wanalipwa mshahara pungufu .Kiufupi , hamna alichofanya zaidi ya kupambania wavae nusu uchi tu , bado kwenye kazi wanachukuliwa kama second class huku wanaume wakilipwa pesa ndefu.
😂😂😂😂 Straya!Kumbe kunae sensa na hausemi.
Nivute simu Ustrelia?
Mabadiliko yapi ?hana tofauti na wewe
unapumua lakini unatumia pumzi yako ku sabotage wapenda mabadiliko nchini.
kiziwi madiscovery vipi😂😂😂😂 Straya!
Kunae sensa Jeiefu!
Salama mkuu humu tu!kiziwi madiscovery vipi
kuna kitu nilikuwa nataka nikuulize sema umefunga milango yakoSalama mkuu humu tu!