Shujaa wa Hat-Trick dhidi ya Yanga SC, Ditram Nchimbi aongezwa kwenye kikosi cha Taifa Stars

Eeeh!
Kaonwa kupitia Mechi moja tu?
Ndio soka la Tz hilo mkuu. Ukiifunga Yanga tu hata kama umebahatisha,haraka we unageuka shujaa. Halafu jamaa hapo juu anasifia huo umbumbu wa soka la Tz
 
Na wengine akina Miraji walioitwa Stars waliifunga Yanga? Acheni roho mbaya nyie Vyura..! Tunawasifia wakifanya vizuri, na tutawalaumu wakiboronga huo ndo uzalendo kwetu..!

Hilo libausa lenu mbona mnalisifia ilhali empty[emoji23]

Watanzania tufike mahali tusikatishane tamaa kwani timu ya taifa ni ya kila mtu. Tumeshajaribu wakina Aiyee, Chiliunda, Lyanga, na wengineo wengi lakini bado hatujapata mtu sahihi wa kutupia mpira kwenye nyavu tu. Timu ya taifa kipa yupo vizuri, mabeki wapo vizuri na hata mawinga wapo vizuri ila tunamkosa mshambuliaji mwenye jicho kali la goli. Basi acheni na Ditram naye tumjaribu kama tulivyojaribu wengine labda huenda akatusaidia. Tuacheni siasa za Simba na Yanga kwenye mpira hazitatufikisha popote kama taifa. Naamini nje ya kuifunga Yanga makocha kuna kitu wamekiona kwa Ditram.

Lakini kama sikosei huyu si ndio alihusika na "assist" zamagoli zaidi ya kumi ya Aiyee mwaka jana au namchanganya na mchezaji mwingine naomba kujulishwa?
 
Mimi naona ni sawa tu. Tuwe tunajaribu washambuliaji wanaojitokeza kila mara hatimaye atapatikana mmojawapo atakayekuwa na jicho la goli. Ukiaangalia washambuliaji karibu wote wazuri kwenye ligi ya bongo wameshaitwa timu ya taifa lakini wanachokosa ni utulivu mbele ya goli. Huenda Ditram akawa ndiye mshambuliaji tunayemtafuta sana kwa sasa.

Nakubaliana na wewe....nimeangalia kwenye youtube magoli yake ya jana...yalikuwa ni magoli mazuri kabisa hasa yale mawili ya mwisho...ila ni wazi kijana huyu atatekwa na siasa za Yanga na Simba...akianza hizo mpira wake ndiyo basi...
 
Umeongea vema, unajua licha ya kukatisha tamaa lakini wengi wana roho mbaya..hawapendi kuona mtu anafanikiwa, kuna mmoja hapo eti tusimsifie ha ha ha

Watanzania tufike mahali tusikatishane tamaa kwani timu ya taifa ni ya kila mtu. Tumeshajaribu wakina Aiyee, Chiliunda, Lyanga, na wengineo wengi lakini bado hatujapata mtu sahihi wa kutupia mpira kwenye nyavu tu. Timu ya taifa kipa yupo vizuri, mabeki wapo vizuri na hata mawinga wapo vizuri ila tunamkosa mshambuliaji mwenye jicho kali la goli. Basi acheni na Ditram naye tumjaribu kama tulivyojaribu wengine labda huenda akatusaidia. Tuacheni siasa za Simba na Yanga kwenye mpira hazitatufikisha popote kama taifa. Naamini nje ya kuifunga Yanga makocha kuna kitu wamekiona kwa Ditram.

Lakini kama sikosei huyu si ndio alihusika na "assist" zamagoli zaidi ya kumi ya Aiyee mwaka jana au namchanganya na mchezaji mwingine naomba kujulishwa?
 
Na wengine akina Miraji walioitwa Stars waliifunga Yanga? Acheni roho mbaya nyie Vyura..! Tunawasifia wakifanya vizuri, na tutawalaumu wakiboronga huo ndo uzalendo kwetu..!

Hilo libausa lenu mbona mnalisifia ilhali empty[emoji23]
Nyie mikia,kweli akili zenu mnaziweka kwenye mkia kwa chini ya mikia pale. Wewe mwenyewe umesema pale juu,ameteuliwa kujiunga Taifa stars baada ya kuwaanyosha Yanga jana.
 
Anajitekenya chumbani kisha anakuja barabarani kucheka.
 
Hamuwezi kuelewa nyie banakongo, nimewajibu kutokana akili zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwingine anayestahili kuitwa ili kucheza na krosi kwa kutumia vichwa ni baba paroko Paul Nonga. Pamoja na Ditram Nchimbi, safu ya kufumania magoli kwa Taifa Stars inakuwa imeboreshwa kwa kiasi kikubwa na kutimia..
 
NCHIMBI timu yake Mama ni Azam Fc, huko alipo yupo on loan! Kwa kuongezea yale magoli 18 aliofunga SALIM AIYEE.... 70% Assists kapewa na Nchimbi!
 
Hongera Nchimbi, hongera Taifa stars kwa ujumla, hongera makocha kwa kujilipua.
 
Mimi naona ni sawa tu. Tuwe tunajaribu washambuliaji wanaojitokeza kila mara hatimaye atapatikana mmojawapo atakayekuwa na jicho la goli. Ukiaangalia washambuliaji karibu wote wazuri kwenye ligi ya bongo wameshaitwa timu ya taifa lakini wanachokosa ni utulivu mbele ya goli. Huenda Ditram akawa ndiye mshambuliaji tunayemtafuta sana kwa sasa.
Unaona mbali mkuu
 
Back
Top Bottom