Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Ndio soka la Tz hilo mkuu. Ukiifunga Yanga tu hata kama umebahatisha,haraka we unageuka shujaa. Halafu jamaa hapo juu anasifia huo umbumbu wa soka la TzEeeh!
Kaonwa kupitia Mechi moja tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio soka la Tz hilo mkuu. Ukiifunga Yanga tu hata kama umebahatisha,haraka we unageuka shujaa. Halafu jamaa hapo juu anasifia huo umbumbu wa soka la TzEeeh!
Kaonwa kupitia Mechi moja tu?
Ndio soka la Tz hilo mkuu. Ukiifunga Yanga tu hata kama umebahatisha,haraka we unageuka shujaa. Halafu jamaa hapo juu anasifia huo umbumbu wa soka la Tz
Mimi naona ni sawa tu. Tuwe tunajaribu washambuliaji wanaojitokeza kila mara hatimaye atapatikana mmojawapo atakayekuwa na jicho la goli. Ukiaangalia washambuliaji karibu wote wazuri kwenye ligi ya bongo wameshaitwa timu ya taifa lakini wanachokosa ni utulivu mbele ya goli. Huenda Ditram akawa ndiye mshambuliaji tunayemtafuta sana kwa sasa.
Simba tumnunue huyu atatusaidia kuifunga Yanga
Watanzania tufike mahali tusikatishane tamaa kwani timu ya taifa ni ya kila mtu. Tumeshajaribu wakina Aiyee, Chiliunda, Lyanga, na wengineo wengi lakini bado hatujapata mtu sahihi wa kutupia mpira kwenye nyavu tu. Timu ya taifa kipa yupo vizuri, mabeki wapo vizuri na hata mawinga wapo vizuri ila tunamkosa mshambuliaji mwenye jicho kali la goli. Basi acheni na Ditram naye tumjaribu kama tulivyojaribu wengine labda huenda akatusaidia. Tuacheni siasa za Simba na Yanga kwenye mpira hazitatufikisha popote kama taifa. Naamini nje ya kuifunga Yanga makocha kuna kitu wamekiona kwa Ditram.
Lakini kama sikosei huyu si ndio alihusika na "assist" zamagoli zaidi ya kumi ya Aiyee mwaka jana au namchanganya na mchezaji mwingine naomba kujulishwa?
Nyie mikia,kweli akili zenu mnaziweka kwenye mkia kwa chini ya mikia pale. Wewe mwenyewe umesema pale juu,ameteuliwa kujiunga Taifa stars baada ya kuwaanyosha Yanga jana.Na wengine akina Miraji walioitwa Stars waliifunga Yanga? Acheni roho mbaya nyie Vyura..! Tunawasifia wakifanya vizuri, na tutawalaumu wakiboronga huo ndo uzalendo kwetu..!
Hilo libausa lenu mbona mnalisifia ilhali empty[emoji23]
Anajitekenya chumbani kisha anakuja barabarani kucheka.Nyie mikia,kweli akili zenu mnaziweka kwenye mkia kwa chini ya mikia pale. Wewe mwenyewe umesema pale juu,ameteuliwa kujiunga Taifa stars baada ya kuwaanyosha Yanga jana.
Nyie mikia,kweli akili zenu mnaziweka kwenye mkia kwa chini ya mikia pale. Wewe mwenyewe umesema pale juu,ameteuliwa kujiunga Taifa stars baada ya kuwaanyosha Yanga jana.
Hamuwezi kuelewa nyie banakongo, nimewajibu kutokana akili zenu[emoji23][emoji23][emoji23]Anajitekenya chumbani kisha anakuja barabarani kucheka.
Hiyo hiyo imetosha kiwango hakijifichiEeeh!
Kaonwa kupitia Mechi moja tu?
Kama fundi Nyoni au Unasemaje mkuuSasa duniani kwote, fundi wa kabumbu ya sayansi ni yule anayepiga mipira ya kutenga. Achana na hizi mshike mshike mkamate full vurumai a.k.a sandakalawe.
Kumbe faulo ikipigwa tumbo huwa linakuwaka moto eeeh?
Una maoni gani mkuuUpumbavu wa kiwango cha lami
Unaona mbali mkuuMimi naona ni sawa tu. Tuwe tunajaribu washambuliaji wanaojitokeza kila mara hatimaye atapatikana mmojawapo atakayekuwa na jicho la goli. Ukiaangalia washambuliaji karibu wote wazuri kwenye ligi ya bongo wameshaitwa timu ya taifa lakini wanachokosa ni utulivu mbele ya goli. Huenda Ditram akawa ndiye mshambuliaji tunayemtafuta sana kwa sasa.
Vipi utatoa support kule CameroonNdio soka la Tz hilo mkuu. Ukiifunga Yanga tu hata kama umebahatisha,haraka we unageuka shujaa. Halafu jamaa hapo juu anasifia huo umbumbu wa soka la Tz