Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora.
la_7s_pool_2020.png
Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya jumanne kutoka Sydney, Australia ambapo walishiriki kwenye mchuano wa Sydney 7s. Hiyo ilikuwa ni '4th leg' ya msururu wa World Rugby7s Series Circuit 2020. Kabla ya hapo walikuwa kule Hamilton 7s, ambapo waliibuka kwenye nafasi ya nane. Ndio mwanzo tu, Los Angeles 7s itakuwa kutoka Feb. 29- Machi 3. Baada ya hapo Shujaa watamenyana na wenzao kwenye '6th leg', Vancouver 7s, kisha Paris7s. Shujaa drawn against SA, Ireland and Canada in Los Angeles 7s
 
Kocha Paul Feeney asema kwamba Shujaa wapo tayari kwa Los Angeles 7s. Awajumuisha wachezaji wa zamani kidogo kwenye timu ya Kenya ili kuwapa vijana wake motisha. Kenya itakuwa na muda wa ziada, wa kujitayarisha kuiwakilisha Afrika kwenye Tokyo 2020 Olympics baada ya Paris 7s. Hii ni baada ya michuano ya Singapore 7s(8th leg) na Hong Kong 7s(9th leg) kuhairishwa hadi Oktoba, kwasababu ya tishio la maambukizi ya COVID-19(virusi vya Corona). Tafadhali nawaomba wale jamaa wa miguu miwili miwili ya kushoto, wanajijua wenyewe, wasituvurugie uzi huu. Tuacheni tujadiliane kwa amani na wasauzi kuhusu haya masuala ya raga. Shukran. [emoji1]
dqpehhwrg0abox3zox5cab41845cad6.jpg
Go Kenya go! [emoji1139]
 
Kocha Feeney asema kwamba Shujaa wapo tayari kwa Los Angeles 7s. Awajumuisha wachezaji wa zamani kidogo kwenye timu ya Kenya ili kuwapa vijana wake motisha. Kenya itakuwa na muda wa ziada, wa kujitayarisha kuiwakilisha Afrika kwenye Tokyo 2020 Olympic baada ya Paris 7s. Hii ni baada ya michuano ya Singapore 7s(7th leg) na Hong Kong 7s(8th leg) kuhairishwa hadi Oktoba kwasababu ya tishio la maambukizi ya COVID-19(virusi vya Corona). Tafadhali nawaomba wale jamaa wa miguu miwili miwili ya kushoto, mnajijua wenyewe, wasituvurugie uzi huu. Tuacheni tujadiliane na wasauzi kuhusu haya masuala ya raga. Shukran. [emoji1]
dqpehhwrg0abox3zox5cab41845cad6.jpg
Go Kenya go! [emoji1139]

Mijitu imekula ugali sio chips mayai....
 
Mijitu imekula ugali sio chips mayai....

Mzee sio kila mtanzania anakula chipsi. Chipsi ni chakula cha Dar hapa na hata Dar kuna wanaokula ugali kumbuka unga wa ugali mnaolisha hao mashujaa unatoka hapa.

By The way hongera, sema tu hii nchi haina uhamasishaji kwenye michezo mingine, serikali ikiamua kuwekeza kwenye Kriketi, Rugby, Tennis, Volleyball, Ice hokey, etc mbona inawezekana.

Ila nawapongeza sana nyie kwenye michezo mmewekeza pale ambapo mna Comparative and competitive advantages like Riadha na Rugby.

Salute Mashujaa 🇰🇪

Proudly Tanzanian
 
Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerudi kama za hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabik kote duniani. Timu mbili ambazo zitaongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora.
la_7s_pool_2020.png
Shujaa, timu ya Kenya Raga7s walitua Kenya jumanne kutoka Sydney, Australia ambapo walishiriki kwenye mchuano wa Sydney 7s. Ambayo ilikuwa ni 4th leg ya msururu wa World Rugby7s Series circuit 2019/20. Kabla ya hapo walikuwa kwenye Hamilton 7s, ambapo waliibuka kwenye nafasi ya nane. Ndio mwanzo tu, Los Angeles 7s itakuwa kutoka Feb. 29- Machi 3. Baada ya hapo Shujaa watafika kule Paris, Ufaransa kumenyana na timu zingine kwenye Paris 7s. Shujaa drawn against SA, Ireland and Canada in Los Angeles 7s
A very manageable group I must say!!! Quarters at a bare minimum
 
Mzee sio kila mtanzania anakula chipsi. Chipsi ni chakula cha Dar hapa na hata Dar kuna wanaokula ugali kumbuka unga wa ugali mnaolisha hao mashujaa unatoka hapa.

By The way hongera, sema tu hii nchi haina uhamasishaji kwenye michezo mingine, serikali ikiamua kuwekeza kwenye Kriketi, Rugby, Tennis, Volleyball, Ice hokey, etc mbona inawezekana.

Ila nawapongeza sana nyie kwenye michezo mmewekeza pale ambapo mna Comparative and competitive advantages like Riadha na Rugby.

Salute Mashujaa 🇰🇪

Proudly Tanzanian

Huwa hatusubiri kuhamasishwa na serikali, tunaanzia mtaani yaani serikali kuja kuhusika inakuta watu wameiva wenyewe. Sasa nyie mkikaa hapo mnasubiri serikali, mtachelewa sana.
 
Huwa hatusubiri kuhamasishwa na serikali, tunaanzia mtaani yaani serikali kuja kuhusika inakuta watu wameiva wenyewe. Sasa nyie mkikaa hapo mnasubiri serikali, mtachelewa sana.

Sera mzee baba, mfano hapa nina mchongo wa kuanzisha app ndio hivyo serikali kapandisha ada ya leseni 1mil, bado Usajili wa kampuni, mtaji wa kutengeneza app etc na niko mwenyewe. Hapo ndipo Tatizo.

Mfano hakuna Chama cha Rugby,wala nini tukianza kucheza tutasajili wapi wizira yenyewe inaonekana mchezo mpya.

Acha tu.

Labda ni maneno ya mfa maji. Ila naona nyie mmekazana liwalo na liwe, faida ya ubepari huo, huku tuna ujamaa uzalendo uliotukuka.

Shit.
 
Shit!
 
Lakini hata Wabongo wenyewe huwa mna hulka ya kusuasua na utepetevu kwenye kila kitu, hapo Bongo nimepaishi, unakuta tunakaa vikao na kuwazua dili moja la nguvu na Wabongo, halafu nabaki mimi ndiye nianze kufuata fuata, yaani wadau wakishatoka kwenye hicho kikao ndio basi, imewatoka akilini, mpaka nilikata tamaa, kunao tulianzisha hata Whatsapp group ili tufanye kitu, najikuta naongea mwenyewe humo mwezi unapita.

Hapo kwenu mtu akijituma fursa zipo nyingi maana hamna ushindani, Wakenya tukija huko huwa tunapiga misele na kutusua sana maana yaani unashangaa unakatiza na kuchana mbuga hukumbani na ushindani kivile, sema serikali yenu baada ya kugundua hilo, huwa imewabana sana Wakenya, Mkenya akiomba kibali chochote anakaziwa balaa ili kulinda Watanzania kwenye baadhi ya hizo fani.

Hapa kwetu ni mwendo wa kushindana balaa, kupumuliana bega kwa bega, na hii huchangia sana kwenye ukuaji wa uchumi wetu.
 
Mzee sio kila mtanzania anakula chipsi. Chipsi ni chakula cha Dar hapa na hata Dar kuna wanaokula ugali kumbuka unga wa ugali mnaolisha hao mashujaa unatoka hapa.By The way hongera, sema tu hii nchi haina uhamasishaji kwenye michezo mingine, serikali ikiamua kuwekeza kwenye Kriketi, Rugby, Tennis, Volleyball, Ice hokey, etc mbona inawezekana. Ila nawapongeza sana nyie kwenye michezo mmewekeza pale ambapo mna Comparative and competitive advantages like Riadha na Rugby. Salute Mashujaa Proudly Tanzanian
Thanks man. Raga ni mchezo freshi sanaaa, kwa wachezaji na mashabiki pia. Kina dada wa Kenya waliingia kichwa kichwa kwenye raga miaka isiyozidi miine iliyopita. Sasa hivi timu ya Kenya raga7s kwa kina dada, Kenya Lionesses, ndio mabingwa wa Afrika na walifuzu kushiriki kwenye 2020 Tokyo Olympics. Alafu kwenye mpira wa wavu tupo pia. Malkia Strikers ndio mabingwa wa Afrika na walifuzu pia kuiwakilisha Afrika kule Tokyo, Japan.
 
Sera mzee baba, mfano hapa nina mchongo wa kuanzisha app ndio hivyo serikali kapandisha ada ya leseni 1mil, bado Usajili wa kampuni, mtaji wa kutengeneza app etc na niko mwenyewe. Hapo ndipo Tatizo.Mfano hakuna Chama cha Rugby,wala nini tukianza kucheza tutasajili wapi wizira yenyewe inaonekana mchezo mpya.Acha tu.Labda ni maneno ya mfa maji. Ila naona nyie mmekazana liwalo na liwe, faida ya ubepari huo, huku tuna ujamaa uzalendo uliotukuka.Shit!
Itakuwa labda huna habari ila najua kwa uhakika kwamba mna Rugby Union, TRU(Tanzania Rugby Union). Mwaka wa 2018 mlialikwa na Sam Muthee wa KRU kuwasilisha timu moja kwenye mchuano wa Safari7s kwa 'side tournament' ya timu chipukizi za A.M. Nilikuwepo pale uwanjani RFUEA ila ilikuwa ni no-show kwa watz. Uganda waliwakilishwa na timu mbili kutoka Kampala na Jinja nadhani na nyingine ya kina dada.
 
A very manageable group I must say!!! Quarters at a bare minimum
Yea, its a very meticulate selection from Coach Feeney. Table ya Series Standings baada ya Sydney.
LOGG-1.jpg
Sio nafasi mbaya baada ya raundi ya nne, lakini tulipoteza momentum tuliyokuwa nayo kule Hamilton. Natumai Shujaa wataanza kwa fujo kule L.A. Tutaanza na mechi dhidi ya S.Africa kisha Ireland alafu tumalizie na Canada. Sidhani tutashindwa kuibuka kwenye top 2 ya Pool B ili tutinge kwenye nane bora.
 
Utakuwa labda hujui ila najua kwa uhakika kwamba mna Rugby Union, TRU(Tanzania Rugby Union). Mwaka wa 2018 mlialikwa na Sam Muthee wa KRU kuwasilisha timu moja kwenye mchuano wa Safari7s kwa 'side tournament' ya timu chipukizi za A.M. Nilikuwepo pale uwanjani RFUEA ila ilikuwa ni no-show kwa Tz. Uganda waliwakilishwa na timu mbili kutoka Kampala na Jinja nadhani na nyingine ya kina dada.

Ahsante kwa kunisahihisha hii inaonyesha transparency bongo ni ndogo.
 
Huwa hatusubiri kuhamasishwa na serikali, tunaanzia mtaani yaani serikali kuja kuhusika inakuta watu wameiva wenyewe. Sasa nyie mkikaa hapo mnasubiri serikali, mtachelewa sana.
Kweli kabisa, kawaida ya serikali zote na wanasiasa ni kwamba huwa hawaibuki na chochote cha maana. Kazi ni kudandia tu wakishaona wazo au kitu kimetulia na kimefanikiwa. Hapo ndio advantage ya wakenya, huwa hawana muda wa kuingoja serikali. Raga ilikubalika mashuleni na mashinani zamani sana hata bila ya input yeyote ya serikali. Cheki 'passion' ya hii 'haka' ya timu ya raga ya Barbarians kutoka shule ya upili ya Kakamega. 'Haka' yao wanaiita 'Khurambana'. 😎
 
...upper hill school
 
Back
Top Bottom