Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa changanya na za kwako, ni tafsiri pekee ninayoweza kuwaelezea vijana wa Tanzania. Hawa ni vijana motomoto, waliotupilia mbali ushawishi wa Yule dada shetani M. K na wadhamini wao mataifa mbalimbali ya nje. Mmekataa kuongozwa na vijana wa Kenya, sasa mtaheshimika sana na kuogopwa.
Huwezi kukaa ughaibuni ukashinda kwenye Key board na kuwa na Tik Tok, instagram na facebok huku ukishawishi vijana wa TZ waende kuandamana. Eti unauliza, mambo vipi huko mitaani Ubongo, Kimara, Posta, alaa nenda mwenyewe. Mwishoni unaamua kuleta video za zamani. Mwanzo na Mwisho wenu.
HONGERA TENA NA TENA NA TENA VIJANA WA Tanzania.