Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Yaani maajabu watu mnaokubalika kwa 98% mnahangaika kusimamisha shughuli zote za nchi na kuingiza vikosi vyote vya ulinzi mitaani kuzuia asilimia 2 wasiandamaneKuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ leo 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa changanya na za kwako, ni tafsiri pekee ninayoweza kuwaelezea vijana wa Tanzania. Hawa ni vijana motomoto, waliotupilia mbali ushawishi wa Yule dada shetani M. K na wadhamini wao mataifa mbalimbali ya nje. Mmekataa kuongozwa na vijana wa Kenya, sasa mtaheshimika sana na kuogopwa.
Huwezi kukaa ughaibuni ukashinda kwenye Key board na kuwa na Tik Tok, instagram na facebok huku ukishawishi vijana wa TZ waende kuandamana. Eti unauliza, mambo vipi huko mitaani Ubongo, Kimara, Posta, alaa nenda mwenyewe. Mwishoni unaamua kuleta video za zamani. Mwanzo na Mwisho wenu.
HONGERA TENA NA TENA NA TENA VIJANA WA Tanzania.
Usidharau mwiba kwenye jambo kubwa kama hili la kitaifa. Ni kujali uhai wa watu. 2% ikisababisha vifa vya 0.0005% ni hasara kubwa kwa Taifa. Ni sahihi kabisa hatua zilizochukuliwa.Yaani maajabu watu mnaokubalika kwa 98% mnahangaika kusimamisha shughuli zote za nchi na kuingiza vikosi vyote vya ulinzi
mitaani kuzuia asilimia 2 wasiandamane
Ushauri wangu kwako: Acha kupata pesa kwa njia haramu. Karibu tuijenge nchi, hujatengwa , wote mnakaribishwa.Jeshi limetanda mabarabarani kuzuia hayo maandamano halafu unasema Gen z wamegomea maandamano? Na bado unaita ni ushindi ilihali hata wangetokea na mkawauwa bado ungetangaza ushindi.
Ni kweli. Wanahitaji kupongezwa hasa na machawa ila si biadamu wenye akili. Sheitwaan ashindwe.Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ leo 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa changanya na za kwako, ni tafsiri pekee ninayoweza kuwaelezea vijana wa Tanzania. Hawa ni vijana motomoto, waliotupilia mbali ushawishi wa Yule dada shetani M. K na wadhamini wao mataifa mbalimbali ya nje. Mmekataa kuongozwa na vijana wa Kenya, sasa mtaheshimika sana na kuogopwa.
Huwezi kukaa ughaibuni ukashinda kwenye Key board na kuwa na Tik Tok, instagram na facebok huku ukishawishi vijana wa TZ waende kuandamana. Eti unauliza, mambo vipi huko mitaani Ubongo, Kimara, Posta, alaa nenda mwenyewe. Mwishoni unaamua kuleta video za zamani. Mwanzo na Mwisho wenu.
HONGERA TENA NA TENA NA TENA VIJANA WA Tanzania.
Unaonaje hao asilimia 2%wapewe ulinzi waandamane watotoe madukuduku Yao kulikoni hii kusimamisha shughuli za kiuchumi nchi nzima na gharama kubwa zinazotumika kuyazuia mbona kama hasara ni kubwa kuliko hiyo asilimia 0.0005% uliyosema hapo?! Vip wakitangaza Tena tarehe nyingine huoni kama ni usumbufu kwa wengine.Usidharau mwiba kwenye jambo kubwa kama hili la kitaifa. Ni kujali uhai wa watu. 2% ikisababisha vifa vya 0.0005% ni hasara kubwa kwa Taifa. Ni sahihi kabisa hatua zilizochukuliwa.
endelela kutumia hicho choo ndotoni na msimu wa mvua huu mavi yako yatakaukia ndaniNi aibu kubwa leo kwa haya mashetani;
1. Mange Kimambi
2. Maria Sarungi
3. Askofu Mwamakula
4. Sativa
5. Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao
6. Larry Madowo
Watakuwa wamechukizwa sana kwa vijana kugoma kuandamana.
Mie natoa maoni yangu kutokana na kilichotokea jana kama ambavyo wengine wametoa maoni yao, na siku zote watu huwa na maono tofauti. Sasa sijakuelewa unavyokuja na tuhuma za kwamba natafuta pesa haramu hali ya kuwa hunijui sikujui.Ushauri wangu kwako: Acha kupata pesa kwa njia haramu. Karibu tuijenge nchi, hujatengwa , wote mnakaribishwa.
Na waombe radhi vijana wote mliowadanganya kuwa jeshi lipo nawe, kwani leo unasema jeshi limetanda. Sijakuelewa sijui unamaanisha kuwalinda Gen Z wako au!!!!!!!! Waeleze vijana wakuelewe.
Hata wakitangaza kila siku ..hakuna atakayetoka ...nani anataka kuzika ndugu zake ? Nani anataka kukaa juani kupiga makelele na kufanya fujo ...ni kweli gharama imetumika kubwa ..je ulitaka isitumike itumike garama ya damu kama wakati uliopita? Na aliekuambia shuhul zimesimamishwa nani ..mbona inajulikana tarehe 9 ni sikukuu..hata mabenki hawafungui..Unaonaje hao asilimia 2%wapewe ulinzi waandamane watotoe madukuduku Yao kulikoni hii kusimamisha shughuli za kiuchumi nchi nzima na gharama kubwa zinazotumika kuyazuia mbona kama hasara ni kubwa kuliko hiyo asilimia 0.0005% uliyosema hapo?! Vip wakitangaza Tena tarehe nyingine huoni kama ni usumbufu kwa wengine.
Muongeze na yule Mchungaji hewa anayeongea kama kachanganyikiwa, MalisaNi aibu kubwa leo kwa haya mashetani;
1. Mange Kimambi
2. Maria Sarungi
3. Askofu Mwamakula
4. Sativa
5. Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao
6. Larry Madowo
Watakuwa wamechukizwa sana kwa vijana kugoma kuandamana.
Naona ajira mpya hii kuruta ndo umeingia kazini! hivi kazi yako ya kutetea mafisadi bado munalipya ile ile buku 7! au sikuhizi imepanda kidogo?Ushauri wangu kwako: Acha kupata pesa kwa njia haramu. Karibu tuijenge nchi, hujatengwa , wote mnakaribishwa.
Na waombe radhi vijana wote mliowadanganya kuwa jeshi lipo nawe, kwani leo unasema jeshi limetanda. Sijakuelewa sijui unamaanisha kuwalinda Gen Z wako au!!!!!!!! Waeleze vijana wakuelewe.
Stop your pathetic crap, hiyo kutandaza askari kila kitongoji ndiyo unasema Gen Z wamegoma kuandamana. Mbona UDOM walivyotaka kutoka usiku mkajaza magari ya jeshi kuizingira.Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ leo 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa changanya na za kwako, ni tafsiri pekee ninayoweza kuwaelezea vijana wa Tanzania. Hawa ni vijana motomoto, waliotupilia mbali ushawishi wa Yule dada shetani M. K na wadhamini wao mataifa mbalimbali ya nje. Mmekataa kuongozwa na vijana wa Kenya, sasa mtaheshimika sana na kuogopwa.
Huwezi kukaa ughaibuni ukashinda kwenye Key board na kuwa na Tik Tok, instagram na facebok huku ukishawishi vijana wa TZ waende kuandamana. Eti unauliza, mambo vipi huko mitaani Ubongo, Kimara, Posta, alaa nenda mwenyewe. Mwishoni unaamua kuleta video za zamani. Mwanzo na Mwisho wenu.
HONGERA TENA NA TENA NA TENA VIJANA WA Tanzania.
Kama hakuna atakae Toka mbona mnahangaika kuzuia na kufungia watu ndani Sasa?Hata wakitangaza kila siku ..hakuna atakayetoka ...nani anataka kuzika ndugu zake ? Nani anataka kukaa juani kupiga makelele na kufanya fujo ...ni kweli gharama imetumika kubwa ..je ulitaka isitumike itumike garama ya damu kama wakati uliopita? Na aliekuambia shuhul zimesimamishwa nani ..mbona inajulikana tarehe 9 ni sikukuu..hata mabenki hawafungui..