Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae.

Haiboi tu bali Inakera. Badilikeni Oky?
 
Poleni kwa msiba Mkuu

Nadhani hao maaskari bado hawaacha tabia waliyoianzisha mwaka 2016 ya kulinda viongozi na mabunduki utasema wako vitani.

Anyways labda wamegundua Tanzania haina amaniπŸ™Œ
 
Nakushukuru sana kwa kuhakikisha noise pollution imeisha kitaa na watu wanalala mapema. Hiyo mvua inabidi ihamie pia kule Algiers maana Watopolo wamesema wameshtukia janja yako, so wataenda kupindulia meza kule kule Uarabuni.
 
Genta! Nchi hii ina upuuzi mwingi Sana!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Poleni sana Kwa msiba wa Mzee wetu wa hishima mkono genta Kwa hili la mvua njoo uchukue maua yako Jiji lipo shwariii kabisa
 
Huyu jamaa kafa mwezi mzima watu wanazurura tuu na maiti , daah waislamu chukeni maua yenu tuu hamna namna
Nazani walikua hawaamini Kama kweli kafa, ndiyo maana wakawa wanajaribu ku buy time ili waone Kama anaweza aamkaa kutoka usingizini!!
 
Poleni. Hatimaye mmefanikisha kuuleta mwili?.

Hii ya mitutu sema tu wangekaa mbali kidogo, unaona nchi ilivyo vululuvululu, kuuleta huo mwili tu itakuwa imetumika nguvu ya ziada, mengine huwa top secret.

Mambo ni mengi.

Poleni once again.
 
Nazani walikua hawaamini Kama kweli kafa, ndiyo maana wakawa wanajaribu ku buy time ili waone Kama anaweza aamkaa kutoka usingizini!!
Usinikumbushe ya Mwalimu Nyerere na Kingunge kule uingereza. Let them Rest Well.
 
Haaaaaaa ahaaaaaa JF oyeee
 
Wakipata hela wanakimbili ulaya wakifa wanarudishwa Africa,
Alafu maendeleo walete wawekezaji kazi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…