Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

Kwa hyo ktk waombolezaji wote ulimuona majaliwa tu ndio anastahili shukran.
 
Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyarwanda, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi hawana Ubavu wa Kuzikwa katika Jeneza la Thamani kama lile kama Sisi Wazanaki Matajiri wa Akili. Ujasiri na Mali.

Rais wa Marekani Joe Biden kalitoa.
Kwa kweli, lile jenezaa ni hatariiiii
 
Sijaenda Msibani ( Mazikoni ) ila Mzee wangu na Wazee wangu Walezi Butiku na Wassira na Dada yangu wameenda.

GENTAMYCINE nilibakia Dar es Salaam kwa Kazi Maalum ya kuleta Utulivu ulioko sasa nchini kwa Mwarabu Kushinda na Kumletea Mvua ambayo Adui yake ilimshinda na Kufungwa Goli 2 Safi kwa lao 1 walilolishabikia kwa Sekunde 10 tu

Sasa mada za msiba mnaleta mi mambo yenu ya mpira
 
duh na makolokolo tena na hajatosjeka akawaelekezea silaha hahaaaaaaa bongo nyoso
 
Nilikaa ule upande lilipokuwa Gari la Kubeba Jeneza mbele yangu walikuwepo Wadada Wawili Warembo ambapo nilitaka Kuwatongoza Wote kwa nyakati tofauti tofauti ila nilipodokezwa tu kuwa kumbe ni Mahakimu Waandamizi nia yangu ya Kuwatongoza ikatoweka ghafla kwani kwa mbali nilianza kuyaona katika Fikra Magereza ya Ukonga, Keko na Segerea na kuhisi huenda ningewatongoza wangekereka wangenisweka huko na JamiiForums nikawa naisikia katika Bomba tu.
Kwan wakiwa mahakimu wanazuiwa kukaa mguu pande.
 
Back
Top Bottom